Why is it sex first marriage next?

Sio kweli, vipi mkitubia nyote kabla ya ndoa ?

Pili, halali hapo ni nini na haramu ni nini pia ?
1.mfanye kusudi alafu mtubie? hapana, toba hufanywa baada ya kutenda jambo ambalo hukuwa unajua kama ni kosa.
2. Its kinda personal, atalijibu mwenyewe
 
Sasa utamuitaje mtu mpenzi kama hamjavuana vijasti-bikozi 😆? Ni sawa na kujiita muislamu wakati hufati nguzo 5 za kiislamu.
swadakta kabisa! Kuitana wapenzi bila kupeana tamu la penzi ni sawa na kutaniana tu kama babu na bibi wanavyotaniana na wajukuu kwa kumuita mke au mume
 
Shake before use [emoji1666]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata deep kisses hamna?
personaly mwanaume aki insist sana sex namuona kama player flani hivi mwenye haraka ya kuhit asepe. lakini akionesha uvumilivu unaweza kujikuta tu unamtunuku kimasihara. wanapoharibu ni pale wanapoliweka hili suala over everything.
 
Suala lenyewe tu la mahusiano kabla ya ndoa linashawishi kufanya hivyo,sasa watu wanafaragha ya kutosha kama kutoka out na mambo mengine halafu iwe tu kama mtu na Dada yake,haiwezekani.
Halafu ukute mwanaume alishaonjaonja huko sasa kwa nini ishindikane kwa huyu anayetaka kumuoa.
 
personaly mwanaume aki insist sana sex namuona kama player flani hivi mwenye haraka ya kuhit asepe. lakini akionesha uvumilivu unaweza kujikuta tu unamtunuku kimasihara. wanapoharibu ni pale wanapoliweka hili suala over everything.
apo nimekusoma
 
no way out kwakweli misimamo ya wengi humu inafanana.
 
Napenda kujua Mauno feni na Mapishi ntakayojimilikisha endapo ntaoa.

Kingne cha muhim nimuone akiamka bila makeup asubuh nione ile natural nirizike nayo, nisije kukimbia baadae nkajua nimelala na bro!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…