Papaa007
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 1,103
- 1,737
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshindwa kujizuia kuchekaLazima mfanye vitest test ndo mfanye UE.
Na mimi nataka![emoji24][emoji24][emoji24]Ndio nilimpa
Tafuta wa kukupaNa mimi nataka![emoji24][emoji24][emoji24] View attachment 1443391
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tafuta wa kukupa
😂🤣🤣cheka tu Joelii,ni kweli lakini🤣🤣🤣🤣Nimeshindwa kujizuia kucheka
Heshima kivipi?. Kuhusu kujua yupi ni husband material sidhani kama hiyo njia ni sahihi sana kwasababu kutopenda ngono haipo katika sifa za husband material.huleta heshima, na uaminifu kati yenu na ni kipimo kizuri cha uvumilivu na msimamo. hapa utapata kujua husband material na baharia mla tunda kimasihara wazee wa hit and run
Kabisa mkuu..nadhan dunia inazuka na matatizo ya kimazingira pia evolution na mambo ya vib100 na mapipa sasa vijana wote ke na me wanaona ni bora kutest mtambo
mambo gani sasa hayo kumueka mtu pending akisubiri ndoa kumbe we unatest tu kwanza. mwisho wa siku ushamzoea unatafuta mpyaNapenda kujua Mauno feni na Mapishi ntakayojimilikisha endapo ntaoa.
Kingne cha muhim nimuone akiamka bila makeup asubuh nione ile natural nirizike nayo, nisije kukimbia baadae nkajua nimelala na bro!.
Sent using Jamii Forums mobile app
sio asipende ila isiwe ndo kigezo kikuu kwamba no sex no love. hizi haraka huwa ni za niniHeshima kivipi?. Kuhusu kujua yupi ni husband material sidhani kama hiyo njia ni sahihi sana kwasababu kutopenda ngono haipo katika sifa za husband material.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana zamani hawakuwa na shaka na usalama wa wachumba wao(walikuwa wapya) wala hapana shaka.Salam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.
Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.
Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
wanaume tunaamin kwamba hitimisho ya kukubaliwa na mwanamke ni kufanya sex, kwaio bila sex tunahisi bado mwanamke hajawa wa kwangu hadi nikisex nae ndo naamini…….hii ipo tu automatic kutokana na masumbufu mnayotupa hadi kuwapata na haiwezi kubadilika.Salam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.
Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.
Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
"na haiwezi kubadilika" aise wenye misimamo ya no sex until marriage tutapata tabu sanawanaume tunaamin kwamba hitimisho ya kukubaliwa na mwanamke ni kufanya sex, kwaio bila sex tunahisi bado mwanamke hajawa wa kwangu hadi nikisex nae ndo naamini…….hii ipo tu automatic kutokana na masumbufu mnayotupa hadi kuwapata na haiwezi kubadilika.
Imani hizi ndio maana mnaachwa kuna vitu unaweza kuvidharau lakini dawa na hamasa na vinamwagilia upendo uzidi kukuaunataka akuigizie? mkuu miguno haina training.
inadepend lakini, misimamo mingne tunaielewa"na haiwezi kubadilika" aise wenye misimamo ya no sex until marriage tutapata tabu sana
kwani hawa wa sasa wanatolewa upya na nani?Vijana zamani hawakuwa ba shaka ni usalama wa wachumba wao(walikuwa wapya) wala hapana shaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuolewa ni sayansi lazima ufikie kiwango na vigezo vya umpendaye na upate alama azitakazo. Kwa bahati mbaya kila mwanaume ana vigezo vyakesa inakuaje unamtest Angel alafu unamuoa Prisca? au ni hulka tu mkuu!
Hapa ndipo mnapokosea husband material unambania huku akiuliza kitaa anaambiwa yule asiye husband material anatoboa.Hiyo kanuni ya kijinga. Mwanamke anakua affected zaidi. Haya atalala na wangapi ili ampate huyo wa kumuoa. Ni kanuni ya kibinafsi sana inayokua promoted na wanaume wanaotaka kula tunda kimasihara.
Personally siwezi kuzini na mwanaume nnaemuona ni husband material ila mwanaume kama sitaki future nae natafuta tu mtu wa kuniliwaza na company sitofikiria mara mbili.
Sent From Galaxy S20 Ultra