Why is it sex first marriage next?

huleta heshima, na uaminifu kati yenu na ni kipimo kizuri cha uvumilivu na msimamo. hapa utapata kujua husband material na baharia mla tunda kimasihara wazee wa hit and run
Heshima kivipi?. Kuhusu kujua yupi ni husband material sidhani kama hiyo njia ni sahihi sana kwasababu kutopenda ngono haipo katika sifa za husband material.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda kujua Mauno feni na Mapishi ntakayojimilikisha endapo ntaoa.

Kingne cha muhim nimuone akiamka bila makeup asubuh nione ile natural nirizike nayo, nisije kukimbia baadae nkajua nimelala na bro!.

Sent using Jamii Forums mobile app
mambo gani sasa hayo kumueka mtu pending akisubiri ndoa kumbe we unatest tu kwanza. mwisho wa siku ushamzoea unatafuta mpya
 
Vijana zamani hawakuwa na shaka na usalama wa wachumba wao(walikuwa wapya) wala hapana shaka.

Ila ninyi wa kisasa mnakuwa mitumba (tena yale machupi mapana) wengi wenu hawafai hata kusitiriwa, hata matako unakuta mchumba wa mtu ashayatumia.

Kiufupi mumeshusha thamani yenu wenyewe, mwanaume kama ana uhakika na thamani yako kutoka na historia yako unakoishi hawezi kukataa maamuzi yako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaume tunaamin kwamba hitimisho ya kukubaliwa na mwanamke ni kufanya sex, kwaio bila sex tunahisi bado mwanamke hajawa wa kwangu hadi nikisex nae ndo naamini…….hii ipo tu automatic kutokana na masumbufu mnayotupa hadi kuwapata na haiwezi kubadilika.
 
"na haiwezi kubadilika" aise wenye misimamo ya no sex until marriage tutapata tabu sana
 
Hapa ndipo mnapokosea husband material unambania huku akiuliza kitaa anaambiwa yule asiye husband material anatoboa.
Huo ujinga vijana wa sasa hawafanyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…