Why is Kenya so rich?


Umeongea kwa hisia kali sana, lkn bado hujathibitisha kwamba ile ni Fake News.
 
Umeongea kwa hisia kali sana, lkn bado hujathibitisha kwamba ile ni Fake News.
Bado unaamini kwamba habari hizo zilikuwa za kweli? πŸ˜† Hebu itupie humu hiyo tweet ya 'Putin' tujiburudishe kidogo.
 
Kwa hiyo KGB kazi yao ni nini!!!? Wewe unafikiri kwa vile kiss haijui hata kusema priviet basi nao hawajui kitu kuhusu kenya na Afrika kwa ujumla.
Kumbe wewe pia unaamini ujinga huo uliotengenezwa na Mtanzania na kuwekwa mtandaoni?
 
nimeangalia aljazera tv asubuhi wakenya milioni 3.5 hawana chakula wanasubiri msaada wa wfp .

Utajiri wa kwanza kwa nchi ni chakula cha kutosha watu wake Ndio inakuja huduma za afya , umeme , maji , barabara , reli , majengo nk







 
Hatuna madini kama nyinyi lakini tumewapiga kwenye gdp, gni per capita na HDI
Ni nani alisema kuwa na madini haipaswi kuzidiwa kiuchumi na nchi nyingine?
Unafahamu kuna nchi nyingi tu hazina rasilimali za asili za kutosha na zinauchumi mkubwa sana?..
Ulishajiuliza kwa nini kuna nchi zilitoka kwenye uchumi wa viwanda na zikaegemea zaidi kwenye Financial Industry?
Hoja yangu kwa nyakati za sasa,natural resources dont guarantee economy well being ya nchi..
 
Kumbe wewe pia unaamini ujinga huo uliotengenezwa na Mtanzania na kuwekwa mtandaoni?

Mimi sijaamini wala kuamini hiyo kitu. Mbaya zaidi wala sijafanyia kazi ili kujua ukweli. Lkn pia kila anayenishawishi kuamini au kutoamini lazima awe na ithibati.

CC: pingli-nywee
 
A fair enough argument, sober and objective.
 
Sikiliza video kwa walio na bundle. Unaelezewa wazi ni kwa nini Kenya ni tajiri ikilinganishwa na nchi nyingi za Africa licha ya Kenya kukosa madini au mafuta.
Aljazeera na BBC walitangaza WFP imesema kuwa mataifa ya horn of Africa Kenya,Ethiopia,Somaliaa na Djibouti yanakabiliwa na ukame na balaa njaa.
Kenya sio chini ya watu milioni 3 maeneo ya Marsabit,Turkana na kwingineko wanakabiliwa na njaa kwasasa.
Somalia na Ethiopia utapiamlo umezidi.
Kidogo Djibouti imejitahidi kujiokoa kwa mikakati wanayopanga.
WAKENYA KAMA MNASHINDWA KUJILISHA MNAJIITAJE MATAJIRI!?
 
Subiri Hustler aanze kurudisha pesa yake ya kampeni ndo utaelewa whether Kenya is rich or not!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…