Why is Kenya so rich?

Why is Kenya so rich?

PUTIN alisema pambaneni na kumaliza njaa ya Taifa lenu kwanza ndipo muhemukwe nao USA na EU kwa kujipendekeza kuichimba mikwara RUSSIA.

Kamwe dunia haiishiwi vituko kabisa, Kenya ya kuichimba mikwara RUSSIA, si ni sawa na sisimizi kumvimbia tembo [emoji848][emoji1732][emoji28]
 
Shida yenu mkisoma meme kwa mneti mnachukuliwa ukweli. Yani Wabongo mnakuwanga mafala sana.
 
Putin can't sink that low., nashuku sana huyo alikua mtanzania na pseudo account ameweka avatar ya Putin, akili zao ni rahisi kugundua 😂 😂 😂 😂 😂
 
Sikiliza video kwa walio na bundle. Unaelezewa wazi ni kwa nini Kenya ni tajiri ikilinganishwa na nchi nyingi za Africa licha ya Kenya kukosa madini au mafuta.

😛😂🤣😁

Why Kenya is so rich!!!??

Nimecheka kwa nguvu sana!
 
Shida yenu mkisoma meme kwa mneti mnachukuliwa ukweli. Yani Wabongo mnakuwanga mafala sana.
Eti Putin naye alitupia kamsemo ka kiafrika, kuhusu kutingiza mbuyu(baobab tree) na makalio. 😄 Wakati mbuyu wenyewe huwa unapatikana tu Afrika bara, pamoja na Madagascar na kidogo S.E Asia. Ukisikia wanaitwa bongolala usidhani kwamba huwa wanapakaziwa.
 
Hamuwezi kuwa Rich mpaka mmalize njaa,tatizo la maji na maradhi na makazo bora ya watu atleast mfanye kama haya yaliyofanyika Mikocheni,Dar es salaam sio mnaacha watu wanalala kwenye mabanda ya bati kama nguruwe

279299096_3147364795476189_6105586961531666960_n.jpg
 
Hamuwezi kuwa Rich mpaka mmalize njaa,tatizo la maji na maradhi na makazo bora ya watu atleast mfanye kama haya yaliyofanyika Mikocheni,Dar es salaam sio mnaacha watu wanalala kwenye mabanda ya bati kama nguruwe

View attachment 2201064
comparing Kenya's worst areas with Tanzanian best areas clearly shows how fucked up you are
 
OK,show us your best human settlement areas in Kenya so that i can show you better human settlement areas than that of Mikocheni,cause it's a fact that Mikocheni is middle income suburb in dar the same as kibera
 
Mikocheni ata utawala itaipiga hands down
 
OK,show us your best human settlement areas in Kenya so that i can show you better human settlement areas than that of Mikocheni,cause it's a fact that Mikocheni is middle income suburb in dar the same as kibera
Hio mikokoteni ndio unaturingia nayo?
 
Hamuwezi kuwa Rich mpaka mmalize njaa,tatizo la maji na maradhi na makazo bora ya watu atleast mfanye kama haya yaliyofanyika Mikocheni,Dar es salaam sio mnaacha watu wanalala kwenye mabanda ya bati kama nguruwe

View attachment 2201064
Dar tunaijua ilivyo 80%.., kilaza wewe, usifanye nikuaibishe, kwa hili fyata 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Eti Putin naye alitupia kamsemo ka kiafrika, kuhusu kutingiza mbuyu(baobab tree) na makalio. 😄 Wakati mbuyu wenyewe huwa unapatikana tu Afrika bara, pamoja na Madagascar na kidogo S.E Asia. Ukisikia wanaitwa bongolala usidhani kwamba huwa wanapakaziwa.

Kwa hiyo KGB kazi yao ni nini!!!? Wewe unafikiri kwa vile kiss haijui hata kusema priviet basi nao hawajui kitu kuhusu kenya na Afrika kwa ujumla.
 
Hasira za nini anko? Sio mimi nilikuhadaa kwamba sijui Putin amewajibu Wakenya. 😄 Waliotengeneza hiyo 'meme', walikuwa wananuia kuwaingiza box vinyangarika kama wewe. Ambao hawajui kufanya vitu viwili vitatu simpo sana. Vya kuwasaida kudhibitisha kama habari ambazo wameziona mitandaoni ni za kweli au ni FAKE NEWS.

Jombaa, hadi nakuonea wivu. Kama huwa unamiini kila jambo, ambalo unaliona mitandaoni virahisi hivyo. Mawazo ndani ya kichwa chako yatakuwa ni kama filamu moja kali sana. Ambayo ina action, drama, sci-fi, kila kitu hadi na horror, tena zote kwa mpigo. 😆
 
Sikiliza video kwa walio na bundle. Unaelezewa wazi ni kwa nini Kenya ni tajiri ikilinganishwa na nchi nyingi za Africa licha ya Kenya kukosa madini au mafuta.

Kenya hii hii tunayoijua au kenya nyingine
 
Back
Top Bottom