Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Kiukweli sikumbuki mechi aliyofanya hivyo.Mwishoni mwa ligi alibadili mfumo baada ya kuona anaruhusu bao nyingi, niliona anatumia sana 3-3-3-1 na ililipa sana.
Ila mimi ninaamini Leeds hawafungwi goli nyingi kisa formation isipokua hawana mabeki wazuri. Kuchezesha CB 3 na WB kunaharakisha kukaba na kushambulia nafikiri kwa mpira anaoupenda hii formation ni nzuri kama ana watu sahihi.