Kiukweli sikumbuki mechi aliyofanya hivyo.Mwishoni mwa ligi alibadili mfumo baada ya kuona anaruhusu bao nyingi, niliona anatumia sana 3-3-3-1 na ililipa sana.
Achana na atletico hii. Atletico ya 2012-13-14-15-16-17-18 hivi.Atm ya msimu huu iliyochukua kombe ni ambayo hata haikutarajiwa. Ushindi ulikua unapatikana kwa nguvu kubwa na ikafikia kipindi Felix akakaa kando na Carasco akawaoutshine aliowakuta.
Mechi dhidi ya Southampton ugenini tareh 18/05/2021 alitumia formation 3-3-3-1 na alishinda 2-0Kiukweli sikumbuki mechi aliyofanya hivyo.
Ila mimi ninaamini Leeds hawafungwi goli nyingi kisa formation isipokua hawana mabeki wazuri. Kuchezesha CB 3 na WB kunaharakisha kukaba na kushambulia nafikiri kwa mpira anaoupenda hii formation ni nzuri kama ana watu sahihi.
Ok kumbe Zizzou nae kapita kwa Bielsa, naskia hata Pochettino ni zao lake pia. Pep kaambulia point moja kwenye mechi 2 za ligi walizokutana na Bielsa ingawa cjajua ilikuaje wakat huo yupo Bilbao na Pep yupo Barca mwaka 2012, ngoja tuone hao wengine cku wakikutana nae itakuwaje.Licha ya hao akina Pep na El Cholo kupitia mikononi mwake, pia Zidane amepetia kwa Mzee pia kuchukua maufundi japokuwa hakudumu nae muda mwingi sana sana kama wenzie kwasababu kipindi hicho Mzee alikuwa anaifundisha Lille kama sijakosea.
Kwenye kufundisha hizi team kubwa inahitajika zaidi ya CV ya Mwalimu, jamaa zetu wameenda mbele zaidi kwasababu Mwalimu pia anatakiwa pia awe mtu wa kuuza sio kufundisha tu, ndio maana unaona hizi team kubwa wanakuwa makini sana kwenye kuchagua Mwalimu.
Sasa kwa upande wa Biesla yeye yupo straight na kazi yake na hataki makando kando wala kuingia Iwafunike na viongozi wa club
[emoji3] babu kwa kumtazama inaonesha ni mtata, hakai na wenzake kweny benchi, yeye anakalia lile deli la maji sura kakunja kama haelewi hv, halaf ana staili yake ya kutembea kwenye touchline mda wote wa mechi, hapo ndo ananiachaga hoi.Atakua ni wali binadamu wa siku hizi ambao ni wabishi sana...
[emoji3] babu kwa kumtazama inaonesha ni mtata, hakai na wenzake kweny benchi, yeye anakalia lile deli la maji sura kakunja kama haelewi hv, halaf ana staili yake ya kutembea kwenye touchline mda wote wa mechi, hapo ndo ananiachaga hoi.
HakikaHuyu anafaa kuinoa Barcelona