Halafu akili ndogo Jiwe ndio kafa kaoza kwa Kagame.Rwanda Vs DRC
Rwanda Vs Burundi
Rwanda Vs Tanzania (Briefly during Kikwete's time)
Rwanda Vs South Africa (They had a diplomatic standoff after Kagame assassinated someone on South African soil)
And now
Rwanda Vs Uganda!
Huyu Kagame ashughulikiwe sasa. Yeye njia pekee anayojua ya kudeal na wapinzani wake ni kuwaua tu.....yaani wafe wao au afe yeye. Ina maana alitegemea serikali ya Uganda ikae kimya tu huku yeye anafanya mauaji ya raia (hata kama ni wa Rwanda) kwenye Ardhi ya Uganda?
Kinachonishangaza ni juhudi kubwa anazotumia Rais Magufuli kupeleka reli ya umeme Rwanda wakati uchumi wa Rwanda ni sawa tu na uchumi wa Dar peke yake! Vipaumbele vya Magufuli vinashangaza sanaHalafu akili ndogo Jiwe ndio kafa kaoza kwa Kagame.
Hivi what do we benefit in Rwanda as a nation ?
Kinchi kidogo hata biashara mtafanya ipi zaidi ya wao kutufaidi tu.
Halafu akili ndogo Jiwe ndio kafa kaoza kwa Kagame.
Hivi what do we benefit in Rwanda as a nation ?
Kinchi kidogo hata biashara mtafanya ipi zaidi ya wao kutufaidi tu.
MK254 wa rwanda wanaipenda sana kenya kuliko nchi zote hapa africa kwakweli hongereni sanaa tena mmepiga hatua kubwaaa sanaaa kama ulaya vileee nyiniy ni middle income country, na ndege zenu zile ndio kabisaaa wa rwanda wakaamua wawaigeee wajaribu kushindana na nynyi lkn sijui kama watawapata
Sio kweli kbs yaan wa Tz tupo neutral sana alafu tupo introvent zaid maisha yetu wenyewe tunapqmbana nayo ss tuje tuwawazie mataifa mengine wakat haya tupi ata sembe EBOLol..Watz wanaogopa Rwanda sana.
Kumbe kagame si hivihivi. Anajua kuwanyorosha ipasavyo😆
Hehehe!! Sio kwa povu zote hizi, Rwanda size ya mkoa lakini huwaliza sana Watanzania, sasa huyo Kagame hata mkimuua ndio mtawasha moto usiozimika, bora hivyo Jiwe aliungana naye badala ya kukomoana.
Halafu akili ndogo Jiwe ndio kafa kaoza kwa Kagame.
Hivi what do we benefit in Rwanda as a nation ?
Kinchi kidogo hata biashara mtafanya ipi zaidi ya wao kutufaidi tu.[/QUOTE
Dunia ya sasa no pernanent friends nor permanent enemies wewe unaangalia nchi ktk muktadha wa size ambao ni wa kizanani sana.toka jiwe amerudisha uhusiano na rwanda bandari ya dar inafika kipindi kuna mpaka container 3000 za rwanda.
Kwenye issue ya reii hamtaki ipite rwanda ,ok give other alternatives ili nikieleze why rwanda or burundi are only options!!
Amnyooshe nani ninyi !!!!!! mnajua mziki uliopigwa kwa m23 under General mwakiborwa someni ripiti za monuscoLol..Watz wanaogopa Rwanda sana.
Kumbe kagame si hivihivi. Anajua kuwanyorosha ipasavyo😆
Mmeamua kumpa kichwa tu,yeye mziki wa general mwakibolwa anaujua
Kikwete atamchekea tu hawezi fanya kitu
Who was behind M 23?do u know what happened there?????.read monusco reports.bravo general MwakibolwaHehehe!! Sio kwa povu zote hizi, Rwanda size ya mkoa lakini huwaliza sana Watanzania, sasa huyo Kagame hata mkimuua ndio mtawasha moto usiozimika, bora hivyo Jiwe aliungana naye badala ya kukomoana.
Tuwaogope wakati ule ulikuwa mkoa wa Tanzania Enzi za ukoloni…...we have historical/cultural ties that run deep my friend nyie mmekuja juzi tu mnajikuta wajuaji.Lol..Watz wanaogopa Rwanda sana.
Kumbe kagame si hivihivi. Anajua kuwanyorosha ipasavyo😆
Who was behind M 23?do u know what happened there?????.read monusco reports.bravo general Mwakibolwa