Tuwaogope wakati ule ulikuwa mkoa wa Tanzania Enzi za ukoloni…...we have historical/cultural ties that run deep my friend nyie mmekuja juzi tu mnajikuta wajuaji.
Kila siku nlishakwambia kwa kila badiko na coment yako huwa inawakilisha mawazo ya wakenya sasa usitufanye tufikirie kwamba wakenya ni matahira kiasi chako.Hehehe!! Sio kwa povu zote hizi, Rwanda size ya mkoa lakini huwaliza sana Watanzania, sasa huyo Kagame hata mkimuua ndio mtawasha moto usiozimika, bora hivyo Jiwe aliungana naye badala ya kukomoana.
German East Africa = Mainland Tanzania + Ruanda-Urundi province which was later given to the Belgians
Kila siku nlishakwambia kwa kila badiko na coment yako huwa inawakilisha mawazo ya wakenya sasa usitufanye tufikirie kwamba wakenya ni matahira kiasi chako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nikiona umechangia upoyoyo kama huu nisikwambie hivi unaweza kuleta ushahidi usio na shaka wa ujinga ulioongea?Changia mada bila kujadili watu binafsi, sio kila mtu hushikiliwa akili kama kondoo.
Kinachonishangaza ni juhudi kubwa anazotumia Rais Magufuli kupeleka reli ya umeme Rwanda wakati uchumi wa Rwanda ni sawa tu na uchumi wa Dar peke yake! Vipaumbele vya Magufuli vinashangaza sana
Ni kwa maneno ya ushabiki tu.Rwanda is nothing to TZ.bila Kgm Rwanda will be as it used 2b.hakuna moto wowote!Hehehe!! Sio kwa povu zote hizi, Rwanda size ya mkoa lakini huwaliza sana Watanzania, sasa huyo Kagame hata mkimuua ndio mtawasha moto usiozimika, bora hivyo Jiwe aliungana naye badala ya kukomoana.
wapo milioni 10 wanatosha kuvuna pesaKinachonishangaza ni juhudi kubwa anazotumia Rais Magufuli kupeleka reli ya umeme Rwanda wakati uchumi wa Rwanda ni sawa tu na uchumi wa Dar peke yake! Vipaumbele vya Magufuli vinashangaza sana
Kinachonishangaza ni juhudi kubwa anazotumia Rais Magufuli kupeleka reli ya umeme Rwanda wakati uchumi wa Rwanda ni sawa tu na uchumi wa Dar peke yake! Vipaumbele vya Magufuli vinashangaza sana
Kasema kabisa lengo ni reli iende Rwanda. Rwanda kuna nn?Kwani hiyo reli inapita kwenye mikoa mingapi ya Tanzania? Inamaana hao watu was hio mikoa hawatanufaika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndg yangu Hukuijua vizuri M23.it was a highly sophiscated army under general kgm.hakikuwa kikundi kama vya mayimayiNyie majanga kweli, hivi kupigana na watoto wa m23 ni kitu cha kujisifia, hao M23 ni kundi lililokua likiteka watoto na kuwalazimisha kupigana.
Na pia juhudi dhidi yao ilikua kwa muungano wa majeshi kutokea mataifa tofauti Congo ikiwemo.
Siku mpambane na wanaume wa kujitoa mhanga bin shetwan akina ISIS na Mashababi ndio muwe na jeuri ya kuongea.
Wewe hujui rwanda was behind m23,then ur not informed of great lake politics and corner corner broNyie majanga kweli, hivi kupigana na watoto wa m23 ni kitu cha kujisifia, hao M23 ni kundi lililokua likiteka watoto na kuwalazimisha kupigana.
Na pia juhudi dhidi yao ilikua kwa muungano wa majeshi kutokea mataifa tofauti Congo ikiwemo.
Siku mpambane na wanaume wa kujitoa mhanga bin shetwan akina ISIS na Mashababi ndio muwe na jeuri ya kuongea.
We mpenzi wa nyuzi za udaki tu!!bossNyie majanga kweli, hivi kupigana na watoto wa m23 ni kitu cha kujisifia, hao M23 ni kundi lililokua likiteka watoto na kuwalazimisha kupigana.
Na pia juhudi dhidi yao ilikua kwa muungano wa majeshi kutokea mataifa tofauti Congo ikiwemo.
Siku mpambane na wanaume wa kujitoa mhanga bin shetwan akina ISIS na Mashababi ndio muwe na jeuri ya kuongea.
Ongezea hapo kuwa m-23 ilikuwa inaundwa na askari ambao ni special forceWe mpenzi wa nyuzi za udaki tu!!boss
UN under Ban kimon iamue kupeleka S.africa (air) na Tz (underground) watu walikuwa na bunkers mlimani kuwatoa was very risk ndiyo maana S.africa askari wake aligoma wasifanye vita ya chini.
NB:Ripoti ziko wazi ukizitafuta
Wewe hujui rwanda was behind m23,then ur not informed of great lake politics and corner corner bro
Kwaiyo ulitaka aseme iende wapi?Kasema kabisa lengo ni reli iende Rwanda. Rwanda kuna nn?