Why is Safaricom and IEBC refusing to release this data?

Breaking News: IEBC agrees to supply CORD, Jubilee with final documents of registered voters and presidential results as demanded by CORD...by Citizen
 

Haya BUSH LAWYERS mpo?? Ngoma inataka kuanza,
jamvi ndio Hilo Limetandikwa, leteni hoja sio utumbo.
 
Wakenya huwa wanajifanya wajuaji sasa mziki huoooooooooooooooooo yetu masikio
 
Haki haiombwi. Namshangaa sana huyu Mbulula Uhuru, he thinks he can cheap all Kenyans all the time..! Nasikia harufu ya damu..!
 
Raila kura hajaibiwa unaweza tu pima kutokana na chaguzi za gavana, wabunge nk
Ukiangalia tu chama cha Ruto karibu kinaenda sawa sawa na namba ya Raila ODM, hapo hujachanganya TNA, na ya Ngilu. Nitofauti kabisa ni ile ya mwaka 2007.
KWa chaguzi za kama Kenya ni vigumu ushindwe uwe na majority kwa bunge harafu hapo hapo usema umeibiwa urais, maana kwa asilimia kubwa Kenya wanaokupigia ubunge kwa chama chako ndo hao hao wanaokupigia urais
 
mbona naona analysis yako si sawa? kwa sababu kwenye mchjo wa wabunge kuna mtu alukuwa may be TNA, lakini hakupitishwa akaenda chama kingine, kama yule Mama wa Othaya, sasa utaona ubunge chama kingine uraisi kura kwingine, na vivyo hivyo ukienda sehemu zingine kama kisumu n.k
 

Mkuu yawezekana analysis haiko sawa lakini, angalia tu kila county na wabunge/gavana nk wametoka chama kipi na uje ulinganishe county hizohizo mgombea wa urais amevuna je kwa county hizo.

Mfano kisumu karibu kote ma-gavana ni wa cord na angalia mgombea wa urais huko amevuna kura kiasi gani kwa county hizo. Kwa kenya ni nafikri ni rahisi sana ku-predict kama kweli kura zimeibiwa ama la! ni tofauti na Tz, Tanzania unaweza usipate mbunge lakini ukapata urais.

Tz hatuna priority zozote kwa upande wa wagombea kikanda , kidini nk, upepo ukivuma vizuri vijana wakafuata bendera basi unavuna kura. Mfano, Kama ungetokea uchaguzi wa urais kwa kipindi cha kikombe cha babu leliondo, na yule babu akaamua kugombea wakati ule basi sishangai kama ingebidi kuchakachua kura ili asishinde. Lakini kwa Kenya ni very predictable.
 
(a) The numbers of all handheld transmission devices that were used to electronically transfer date from polling stations to the tallying centre.


Aaaaarghhh!
 
It is such a shame that the Mount Kenya Mafia have taken over the country and show such disregard for the rule of law! All the information is the property of the people of Kenya! That the elections were rigged is an open secret! Kenyans were asked to vote for peace and not justice, sound governance, or true democratic expression.
 


We cant give up the fight!
 

Mkuu hata ratio ya wapiga kura haiko sawa katika maeneo hayo. Kwa maeneo waliposhinda JUBILEE yana wapiga kura wengi ukilinganisha na maeno walikoshinda CORD. Nlikua nataka sana RAO ashinde uchaguzi huu lakini nlipoangalia takwimu za voter's registration kwenye ngome zao nikaishiwa nguvu. Hata wakirudiana wawili CORD hawawezi kushinda. Sioni uwezekano wowote wa RAO kushinda labda nje ya utaratibu wa kupiga kura.
 


Kwa kuweka sawa kumbukumbu Mary Wambui hakukatwa na aligombea kupitia chama cha TNA aliyehama chama kwa ni Gichuki Mugambi(aliyekua ameshindwa kura za maoni na chaguo la Mwai Kibaki) bado Mary Wambui aliibuka kidedea katika uchaguzi mkuu.
 
What a banal typological explanation..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…