Kama wasomalia na serikali yao hawataki ukombozi kwanini tukawatoe kafara vijana wetu ili visenti vya mmarekani kama Kenya?"Mkombozi" wa Afrika ameshindwa kupeleka majeshi Somalia atawaezaje kuwa standby force hapa Afrika?
Kama wasomalia na serikali yao hawataki ukombozi kwanini tukawatoe kafara vijana wetu ili visenti vya mmarekani kama Kenya?
Tulishakomboa Afrika kupata uhuru sasa nyie wasaliti pambana na Somalia mkizidiwa tutakuja kusaidia"Mkombozi" wa Afrika ameshindwa kupeleka majeshi Somalia atawaezaje kuwa standby force hapa Afrika?
nyie mliopigana na mashababi mmefikia wapi zaidi ya kuonyesha jeshi lenu ni dhaifu kuliko yote, mashababi yameuwa wanajeshi wenu wengi yameua raia wenu wengi na bado yakateka na wanajeshi wengine na kuwadhalilisha na kuwaua huku wakiwarekodi, sasa mmepata faida gani zaidi ya kujidhalilisha na kuonekana dhaifu sana kijeshiWatz walivyo waoga, waliogopa kujiunga kwenye hilo kundi baada ya kuskia linaweza kutumika kupigana dhdi ya Alshabaab, yaani ukitaja chochote kinachohusu mashababi, Watz hupitia mbali kama wamekunja mikia....hehehe.....ila inabdi tuwaelewe maana mziki dhidi ya hawa magaidi unahitaji usiwe dhaifu, kumbuka Watz walivyosumbuliwa na kuhangaishwa na vjana wao wanywa gongo/chang'aa kule msitu wa Amboni kwa muda mrefu tu, hao hao wanywa gongo waliwasumbua sana Kibiti, sasa ikiwa wanaweza kulizwa na vijana dhaifu kiasi hicho, je wakivurugwa na mashababi bin shetwan wataihama nchi.
Kuna kipindi Alshabaab walihojiwa na kuulizwa mbona wameikosesha amani Tanzania, wakasema hawana ugomvi na Tanzania na hawapo huko, kwamba wanaowaliza Watz ni vijana wao tu wa Kitanzania na wala sio Alshabaab. Hivyo, ni jambo la kueleweka kwanini Watz hawawez kuthubutu chochote wala hata kuelekeza kidole dhidi ya mashababi, muungano kama huu wa majeshi ilipotajwa utahusika kuwapiga mashababi, Watz walikaa mbali nawo.
nyie mliopigana na mashababi mmefikia wapi zaidi ya kuonyesha jeshi lenu ni dhaifu kuliko yote, mashababi yameuwa wanajeshi wenu wengi yameua raia wenu wengi na bado yakateka na wanajeshi wengine na kuwadhalilisha na kuwaua huku wakiwarekodi, sasa mmepata faida gani zaidi ya kujidhalilisha na kuonekana dhaifu sana kijeshi
Wewe kinyamshina hebu tuambie malengo ya huwa muungano na mafanikio yake matatu mpaka sasaMnapenda ku lamba Matako ya SA Sana . whereas Geopolitically you are not in Southern Africa.
Your emmidiate threats are more from the East than south.
Nyinyi kazi yenu ni pombe hatakwenye vita bado mnaiba pombeTumefaulu kuwakingia nyie kifua, maana haya mashababi yakiachiwa yataiteka Afrika Mashariki yote, hivyo tumeyabana yamebaki ndani. Huwa wanachomoka mmoja mmoja anajitoa mhanga, ila hawana tena uwezo wa kuteka nchi yoyote.
Huko kwenu mlivyo na migawanyiko ya kidini, mashababi yangepata raha sana kama yengafaulu kufika huko, ila tumeyadhibiti.
Watz walivyo waoga, waliogopa kujiunga kwenye hilo kundi baada ya kuskia linaweza kutumika kupigana dhdi ya Alshabaab, yaani ukitaja chochote kinachohusu mashababi, Watz hupitia mbali kama wamekunja mikia....hehehe.....ila inabdi tuwaelewe maana mziki dhidi ya hawa magaidi unahitaji usiwe dhaifu, kumbuka Watz walivyosumbuliwa na kuhangaishwa na vjana wao wanywa gongo/chang'aa kule msitu wa Amboni kwa muda mrefu tu, hao hao wanywa gongo waliwasumbua sana Kibiti, sasa ikiwa wanaweza kulizwa na vijana dhaifu kiasi hicho, je wakivurugwa na mashababi bin shetwan wataihama nchi.
Kuna kipindi Alshabaab walihojiwa na kuulizwa mbona wameikosesha amani Tanzania, wakasema hawana ugomvi na Tanzania na hawapo huko, kwamba wanaowaliza Watz ni vijana wao tu wa Kitanzania na wala sio Alshabaab. Hivyo, ni jambo la kueleweka kwanini Watz hawawez kuthubutu chochote wala hata kuelekeza kidole dhidi ya mashababi, muungano kama huu wa majeshi ilipotajwa utahusika kuwapiga mashababi, Watz walikaa mbali nawo.
Tumefaulu kuwakingia nyie kifua, maana haya mashababi yakiachiwa yataiteka Afrika Mashariki yote, hivyo tumeyabana yamebaki ndani. Huwa wanachomoka mmoja mmoja anajitoa mhanga, ila hawana tena uwezo wa kuteka nchi yoyote.
Huko kwenu mlivyo na migawanyiko ya kidini, mashababi yangepata raha sana kama yengafaulu kufika huko, ila tumeyadhibiti.