Why is Tanzania not a member of the The East African standby Force?

Halafu nikuulize...hzo ni estates lkn n vile ziko unplanned...unamaanisha zikipangwa poa tutaona massions na flats za maana hapo..
Mbna ndugu unataka kujitoa ufahamu
Nani kakwambia hizo estates??
Are you insane broh??
Na kwa taarifa yako mashirika ya nyumba ya N.H.C,NSSF na Watumishi Housing wananunua nyumba mitaa mibovu na kuzibomoa na kuzijenga kimipamgo miji.
Mfano kijichi,kigambon ni maeneo yaliyofanyiwa hivyo.
 
Mtu anaposema unplanned settlement anamaanisha nn?

Kwa maoni yangu Viongozi wa Tanzania ni shortsited sana .
They always side with the loosing team .
Walianza kwa kukumbatia Ujamaa ,waka fail.sasa hivi wana practice capitalism waliokuwa wakiikataa.
The first East African community ika fail kwa sababu ya differences za ujinga zilizoletwa na Nyerere .
In the current EAC Tanzania ndio inachangia pakubwa kuhujumu intergration ila najua mwishowe watafunguka macho.
pia kuna kipindi walikuwa wanataka kujinga na Arab league sijui walifika wapi.

Viongozi wamewafanya wa withdraw kuwa wanachama wa comesa lakini najua hivi karibuni watajiunga tena
ukiangalia hata development projects kama Bangamoyo port na SGR utagundua kwamba ni projects ambazo wamezianzisha kwa mihemko tu.
We funga bakuli lako, hakuna kitu cha maana wala ukweli ulichoandika hapo, upuuzi tu, mpuuzi.
 
Kwa maoni yangu Viongozi wa Tanzania ni shortsited sana .
They always side with the loosing team .
Walianza kwa kukumbatia Ujamaa ,waka fail.sasa hivi wana practice capitalism waliokuwa wakiikataa.
The first East African community ika fail kwa sababu ya differences za ujinga zilizoletwa na Nyerere .
In the current EAC Tanzania ndio inachangia pakubwa kuhujumu intergration ila najua mwishowe watafunguka macho.
pia kuna kipindi walikuwa wanataka kujinga na Arab league sijui walifika wapi.

Viongozi wamewafanya wa withdraw kuwa wanachama wa comesa lakini najua hivi karibuni watajiunga tena
ukiangalia hata development projects kama Bangamoyo port na SGR utagundua kwamba ni projects ambazo wamezianzisha kwa mihemko tu.

..hapana.

..Tz haijawahi kutaka kujiunga na Arab League.

..tulitaka kujiunga na Organisation of Islamic Cooperation [ OIC].

..Na hiyo ni kwasababu ya ndugu zetu Wazanzibari ambao majority ni Waislamu.
 
Mtu anaposema unplanned settlement anamaanisha nn?
Unplanned settlements ni makazi ambayo yamejengwa pasi na mipango miji.
Hakuna hata sehem nzuri za kupitisha barabara za mitaa wala makazi yenyewe hayajajengwa kimpangilio.
 
Safi sana...na unplanned settlement huletwa na nn?..haina haja tubishane..lazima twende pole pole kila mtu anagalau apate somo kiasi

Unplanned settlements ambazo zina results to unplanned towns or cities zinaweza kuletwa na sababu zifuatazo;
1)Upangaji miji mbovu wa serikali either poor urban planning or rural planning.Hii husababisha wananchi kujenga nyumba ovyo tu watakavyo hata km ni nzuri zina ubora.
Mfano kigamboni kisiwan na vijibwen kuna nyumba za high standards ila hazikujengwa kimpangilio kutokana na serikali kutotumia mipango miji ktk ujengaji wa nyumba kwa kupima viwanja na mitaa strategically.
2)Umasikini wa watu kukosa kujenga nyumba zilizo bora na kutokutumia viwanja km vilivyopimwa kimpangilio na kivipimo km serikali ilivyopima kwa kukatiana na kuuziana kiholela mfano tabata kinyerezi au kigamboni Soweto.
Viwanja vimepimwa kimpangilio lakn kwa hali ya umaskin mtu ana kata kipande mbele ili amuuzie mtu kwa bei rahis naye ajenge.
Mwisho wa siku settlement pattern inavurugika.
Hizi ndizo factors mbili kuu zinazochangia Tanzania kua na unplanned towns or cities.
 
Unaanzaje kupigana na mtu ambaye huna ugomvi nae?
Watz walivyo waoga, waliogopa kujiunga kwenye hilo kundi baada ya kuskia linaweza kutumika kupigana dhdi ya Alshabaab, yaani ukitaja chochote kinachohusu mashababi, Watz hupitia mbali kama wamekunja mikia....hehehe.....ila inabdi tuwaelewe maana mziki dhidi ya hawa magaidi unahitaji usiwe dhaifu, kumbuka Watz walivyosumbuliwa na kuhangaishwa na vjana wao wanywa gongo/chang'aa kule msitu wa Amboni kwa muda mrefu tu, hao hao wanywa gongo waliwasumbua sana Kibiti, sasa ikiwa wanaweza kulizwa na vijana dhaifu kiasi hicho, je wakivurugwa na mashababi bin shetwan wataihama nchi.

Kuna kipindi Alshabaab walihojiwa na kuulizwa mbona wameikosesha amani Tanzania, wakasema hawana ugomvi na Tanzania na hawapo huko, kwamba wanaowaliza Watz ni vijana wao tu wa Kitanzania na wala sio Alshabaab. Hivyo, ni jambo la kueleweka kwanini Watz hawawez kuthubutu chochote wala hata kuelekeza kidole dhidi ya mashababi, muungano kama huu wa majeshi ilipotajwa utahusika kuwapiga mashababi, Watz walikaa mbali nawo.
 
Twaib...so kiufupi huo uwanja wa dhambi umejaa maskini wazamiaji kibao...mjini wanaishi kw kuungaunga tu...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Unplanned settlements ambazo zina results to unplanned towns or cities zinaweza kuletwa na sababu zifuatazo;
1)Upangaji miji mbovu wa serikali either poor urban planning or rural planning.Hii husababisha wananchi kujenga nyumba ovyo tu watakavyo hata km ni nzuri zina ubora.
Mfano kigamboni kisiwan na vijibwen kuna nyumba za high standards ila hazikujengwa kimpangilio kutokana na serikali kutotumia mipango miji ktk ujengaji wa nyumba kwa kupima viwanja na mitaa strategically.
2)Umasikini wa watu kukosa kujenga nyumba zilizo bora na kutokutumia viwanja km vilivyopimwa kimpangilio na kivipimo km serikali ilivyopima kwa kukatiana na kuuziana kiholela mfano tabata kinyerezi au kigamboni Soweto.
Viwanja vimepimwa kimpangilio lakn kwa hali ya umaskin mtu ana kata kipande mbele ili amuuzie mtu kwa bei rahis naye ajenge.
Mwisho wa siku settlement pattern inavurugika.
Hizi ndizo factors mbili kuu zinazochangia Tanzania kua na unplanned towns or cities.
 
Twaib...so kiufupi huo uwanja wa dhambi umejaa maskini wazamiaji kibao...mjini wanaishi kw kuungaunga tu...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Yeah hilo ni la ukweli.Hiyo ni sababu moja wapo maeneo km tandale yanakuwa chovu kiasi serikali kususa hayo maeneo.
Lakin kuna sehem zinginezo wananchi wanajiweza km kigamboni kisiwan ila Serikali hawakuwaita mipango miji ili wapime maeneo ki strategy watu wajenge.Mwishowe majumba makubwa ya thamani yanakaa ovyo pasi na mpangilio.
Ila huko Tandale,Manzese kiukweli maskin wengi nisidanganye niliwahi kwenda mara ya kwanza kwasababu imepakana na kijitonyama.Bro watu wa Tandale na Manzese maskin kiukweli mpk wengine huuza mpk uchi zao ku sustain life.Wana commit mpk anal sex ili uwape hela kubwa wa survive.
Mji utajengwaje??
 
Haina haja twende hko...kila mtu na masha yake...bt kiukwel wazamiaji kw maoni yangu hujitakia mateso ya bure...

Si ajabu hao unaowaita maskini makwao wako visuri, huende wanamiliki mashamba makubwa na pia maisha aliyokuwa anaishi mtu before aende mjini yalikuwa bora...so hii kasumba ya kwamba mtu ywafikiria mjini ndio kuna maisha mazuri anajidanganya..km huna kitu cha kukupeleka mjini chenye faida kwako usiende....cz utaenda kuteseka tu...

Wengine hutusua ila ni wachache sana ..si ajabu sisi kujikuta mjini twaona sisi ni bora..ila tusisahau km mababu zetu walikuwa wazamiaji si ajabu...na pia pengine waliteseka sana

Umeongea ukweli mchungu baba angu.

Suluhisho la kudumu ni muungano wa majeshi dhaifu ambao umebuniwa na Kenya uondoke Somalia ili wachapane wao
Kwa wao mpaka waishe
 
Back
Top Bottom