Watz walivyo waoga, waliogopa kujiunga kwenye hilo kundi baada ya kuskia linaweza kutumika kupigana dhdi ya Alshabaab, yaani ukitaja chochote kinachohusu mashababi, Watz hupitia mbali kama wamekunja mikia....hehehe.....ila inabdi tuwaelewe maana mziki dhidi ya hawa magaidi unahitaji usiwe dhaifu, kumbuka Watz walivyosumbuliwa na kuhangaishwa na vjana wao wanywa gongo/chang'aa kule msitu wa Amboni kwa muda mrefu tu, hao hao wanywa gongo waliwasumbua sana Kibiti, sasa ikiwa wanaweza kulizwa na vijana dhaifu kiasi hicho, je wakivurugwa na mashababi bin shetwan wataihama nchi.
Kuna kipindi Alshabaab walihojiwa na kuulizwa mbona wameikosesha amani Tanzania, wakasema hawana ugomvi na Tanzania na hawapo huko, kwamba wanaowaliza Watz ni vijana wao tu wa Kitanzania na wala sio Alshabaab. Hivyo, ni jambo la kueleweka kwanini Watz hawawez kuthubutu chochote wala hata kuelekeza kidole dhidi ya mashababi, muungano kama huu wa majeshi ilipotajwa utahusika kuwapiga mashababi, Watz walikaa mbali nawo.