Watokeje USA kesha sema lazima manyani yapigane huko badala yaoSomalia ni vita mlivojitakia wenyewe hakuna mtu alieatuma huko[emoji38][emoji38][emoji38] leo hii mumekalia kuti kavu munatafuta pakutokea
😆😆😆 wakivaa suti nao hujiona wazunguWatokeje USA kesha sema lazima manyani yapigane huko badala yao
Thibitisha haya madai yako boss, la sivyo itakuwa ni hadithi tu, za kaka sungura na mzee kobe. Emperor Haile Selasie na nchi yake ya Ethiopia ndio waliwapa Mau Mau hifadhi, ufadhili na silaha. Nyinyi wengine mlikuwa busy mki'bargain' na mzungu kuhusu siku ambayo mtapewa uhuru. Huku wapiganaji wa Mau Mau wakidondoshewa mabomu na mkoloni kwenye kambi na maficho yao ndani ya misitu ya Ml. Kenya na Aberdare.
Hawakufika Tz ndio maana hatakuhusika nao.Tumefaulu kuwakingia nyie kifua, maana haya mashababi yakiachiwa yataiteka Afrika Mashariki yote, hivyo tumeyabana yamebaki ndani. Huwa wanachomoka mmoja mmoja anajitoa mhanga, ila hawana tena uwezo wa kuteka nchi yoyote.
Huko kwenu mlivyo na migawanyiko ya kidini, mashababi yangepata raha sana kama yengafaulu kufika huko, ila tumeyadhibiti.
Kwan hakuna vijana wakenya alshabab?Mashababi hawana ugomvi na nyie maana hamjahusika kwenye kuwazuia kutanua, hampo kwenye kundi linalowanyima usingizi, lakini ikitokea tuwaache wafanye yao na kuanza kutanua, utawaskia hadi Kigoma. Wao wako kama ISIS, yaani wakipata fursa ya kutoka, hutoka na kuzagaa kote.
Hapa tu hamjahusika na ugomvi wao lakini vijana wenu wanakuja kujilipua Kenya na kwenda kufanya ugaidi Msumbiji, inaonyesha hapo kwenu jinsi vijana wanatamani sana kinuke, siku mtie guu wapate sababu. Acheni kukejeli juhudi zetu za kudhibiti haya mazombi maana siku tukishindwa na kuachia, mtatamani dunia ipasuke.
Ukipata fursa kaitazame hii movie
Al shababu wanataka kuikomboa Kenya kutoka Kwa vibaraka wa wazungu wa serikali feki inayo waifadhi RAIA wake kwenye mazizi ya slum huku ardhi yote wakimilikishana na wazungu
Wakenya amjui kitu zaidi ya kingereza cha kumwabudu mzungu hata hayo uyajui kuusu nyerere !!!!!!!????
[emoji38][emoji38][emoji38] wakivaa suti nao hujiona wazungu
Hawakufika Tz ndio maana hatakuhusika nao.
Lau wangefika Tz wangefanyiwa km walichofanyiwa M23.
We umkingie nan kifua aisee ilhali umepigwa had ndan ya mipaka yako??
Usiropoke man.M23 ni akina nani...hao si ni wahuni tu km panya rodi...hta gaza wa nairobi wanawasambaratisha
Wakomoro walikuwa wamewakosea nini? ama ni vile ni wanyonge?😂😂Sisi si wapumbavu kama nyie,sasa tupambane na al-shabaab, wametukosea nini???
M23 ni child soldiers wanawatoa jasho huku wamejiami na mipanga🤔🤔 je mkipatana na shababu SI mtajinyea. Ligi yenu ni M23 na kina Komoro.Usiropoke man.
Serikali yao ya Congo imewashindwa mpk kutuita.
M23 wameshateketezwa,Comoros waasi waliteketezwa aya bro nambie ww ulipigana battle ipi ukashinda??M23 ni child soldiers wanawatoa jasho huku wamejiami na mipanga[emoji848][emoji848] je mkipatana na shababu SI mtajinyea. Ligi yenu ni M23 na kina Komoro.
Hao Alshabab tumewasikia kwenye clip yao wakisema "salam Tanzania msidhan tumewaachia tutaingia......."M23 ni child soldiers wanawatoa jasho huku wamejiami na mipanga[emoji848][emoji848] je mkipatana na shababu SI mtajinyea. Ligi yenu ni M23 na kina Komoro.
Boss huu ndio ushahidi kwamba Nyerere aliwapa Mau Mau Landrover kama ulivodai? Alafu unaelewa chochote kuhusu vita vya Mau Mau? Landrover waliitumia kufanyia nini? Jombaa, mimi hapa ni mjukuu wa shujaa wa Mau Mau. Historia ya Mau Mau kwangu ni suala personal, na nimehusishwa kwenye research kadhaa rasmi kuhusu historia na vita vya Mau Mau. Acha kupenda kiki reja reja.
Boss huu ndio ushahidi kwamba Nyerere aliwapa Mau Mau Landrover kama ulivodai?
Umehoji kama Mwalimu alishiriki kusaidia viongozi wa MAU MAU na kusema Haile Selassie ndiye aliyefanya hivyo, nikakuonesha Mwalimu alikuwa ni baadhi ya watu waliosaidia kutoa ushawishi wa Mzee kufunguliwa.
KANU ilikuwa oppressed zaidi na Waingereza kuliko TANU, hata vyama vya siasa Kenya vilifutwa na wakoloni hao na kuweka ukabila (ambao inasikitisha mpaka sasa mmeshindwa kuuondoa) ili kupunguza nguvu yenu na hatmaye kuanza kwa vita vya MAU MAU.Alafu unaelewa chochote kuhusu vita vya Mau Mau? Landrover waliitumia kufanyia nini?
Boss, eti mlianzisha SADCC? Alafu mkataba ukatiwa saini Lusaka, Zambia na makao makuu yakawa Gaberone, Botswana? 😕😕😕 Mlitumia ile sayansi yenu pendwa ya kiafrika kuianzisha au?
Tz haiwezi kwenda Somalia kwa sababu inaujua mgogoro wa Somalia in detail hivyo haina sababu ya kwenda Somalia So as to serve other countries interest.
Nimesoma hadi vitabu na archives za barua za mkoloni na official documents pale Kenya National Archives. Acha nikupe new information, Jaramogi Oginga Odinga pekee yake ndiye aliyesababisha mkoloni akamuachilia huru J.Kenyatta.Umehoji kama Mwalimu alishiriki kusaidia viongozi wa MAU MAU na kusema Haile Selassie ndiye aliyefanya hivyo, nikakuonesha Mwalimu alikuwa ni baadhi ya watu waliosaidia kutoa ushawishi wa Mzee kufunguliwa. KANU ilikuwa oppressed zaidi na waingereza kuliko TANU, hata vyama vya siasa Kenya vilifutwa na wakoloni na kuweka ukabila (ambao inasikitisha mpaka sasa mmeshindwa kuuondoa). Walitumia passport za Tanzania kinyemela ila kuweza kusafiri nchi mbalimbali ila huwezi pata taarifa hizi za ndani mitandaoni.
Kenyatta betrayed mau mauNimesoma hadi vitabu na archives za barua za mkoloni na official documents pale Kenya National Archives. Acha nikupe new information, Jaramogi Oginga Odinga pekee yake ndiye aliyesababisha mkoloni akamuachilia huru Kenyatta.
Baada ya yeye kukataa kuwa P.M. wa Jamhuri mpya ya Kenya. Mkoloni hakuwa na nia ya kufanya hivyo, na Jomo Kenyatta akiwa kwenye gereza Maralal mkoloni alimletea ndoo ya pombe kali kila siku ili afe kwasababu ya ugonjwa wa ini.