Why is Tanzania poor?

its too late to catch up on Kenya
 
Umeenda vizuri sana mpaka ulipofika kwa Magufuli...

How can you put all our hopes kwake with all this impunity,katiba mbovu,0 bunge,0 Tume ya Uchaguzi,100% Bashite,etc?

Huwezipata maendeleo with all these!

Jiwe hayupo calibre ya Uhuru,Kagame and the likes..Let us not kid ourselves!

Angeeanza walao kusimamisha hizi institutions ningepata hope tutapata economic development.

Alichoanza nacho,kuziharibu mazima,amesimama mwenyewe,and it doesnt matter how good he will be,institutions zipo hovyo na output ya uchumi itakua hovyo...Usikompee na a minute tiny village-like called Rwanda.
 
hahahaha we mwaga povu tu ila hakuna asiyejua kuwa watz ndio watu wazembe kabisa bara la africa...
 
Credible sources include World Bank and CIA world facts book, wewe hii picha umeitolea wapi? Umejifunza kutumia Microsoft paint ndo unaleta shida eti? Mimi nawaambia nendeni Tz mkaone kama kuna umasikini ambao mnajiongopea kila siku upo, kutoka Kibera hapo hadi Dar au Arusha sio gharama. Nendeni Tanzania mkaone kama kuna umasikini.
 
Mtapata Taabu sana MiJubilee..Tanzania iliopo sasa si ya kikwete.. Mlimzoea sana Mkapa na kikwete. JPM ashafukuza wazembe serikalini na kwa miaka 2 pekee viwanda 3000 zimewekezwa, reli inajegwa, Barabara na mahospitali, umeme unazalishwa..Dua lenu nikama lile la kuku, halitampta mwewe ..Hamjui kwamba Furaha ya wa Bongo ni Jubilee iwe mamlakani kwa miaka 100..Kenya itapitwa kama imesimama, Tayari GDP(PPP) na GNI ya Tz ipo Juu ya kenya..Ndani ya miaka mbili pekee!
 
Unajua kutumia microsoft paint lakini hujui kutumia google ama akili zako ziko programmed kukataa ukweli?
 
This is fake. If you take anything from the internet seriously, you are worse than a virgin tortoise.
Hata hivyo hii ya chini nakubaliana nayo
Japo ina napungufu kidogo, Kenyas population below poverty line is not only 29 pct, it's above 40pct. World Bank, Imf and other credible sources agree with me.
 
u would die imagining that only 20% of kenyans are poor
 
Unajua kutumia microsoft paint lakini hujui kutumia google ama akili zako ziko programmed kukataa ukweli?
Kwahio unasema: wewe unajua kutumia Google kupika takwimu si ndio? Wewe hii umeitolea wapi? Sema source yako. Nifuunge mdomo kwa kusema ni world Bank uone kama ntaendelea kujibu
 
Ila hakikisha na ww sio maskini kijana,toka 2 povu unavyoweza!!
Kumbuka hata marekani kuna ombaomba na ndio vinara wa maendeleo duniani! !na hata Tanzania wapo matajiri kati ya wenye njaa kali! !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We are talking about countries not Individuals
 
All i am saying up there are facts..Tanzania shouldnt be poor
Kenya should not also be poor. Education and bad policies dragged down Tz as Tribalism and corruption dragged down kenya.
Fortunes are changing in Tz, but we cant say the same for poor kenya. Those are the facts.
 
Kenya has had many challenges unlike u tz..Its too late to catch up though with your growing pop..and continued exploitation by acacia and the likes
 
hahahaha we mwaga povu tu ila hakuna asiyejua kuwa watz ndio watu wazembe kabisa bara la africa...
Sasa hao ma lazy na wewe competent mna tofauti gani? Wote masikini tu, hakuna masikini kidogo na masikini sana hahahahaha! Funnu stuff! Wagonjwa wa ukimwi wanachekana ati wewe gonjwa zaidi ya mimi! Absurd!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…