Kaabad
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 375
- 473
Una proof ya hivyo 3000 viwanda kuexist au ndo mkumbo? Mm mtanzania but without proof which i consider fact ghen your far away from reality, realistically when politics is applied in economics this results to unprofessionalism and steady development so usifate mkumbo njoo na proof sio umesikia tu hotuba znasema 3000 viwanda nawewe unaakuja humu kutuletea hizo porojo, anyways on industrial sector bado Kenya wametuacha kwa,sababu unaweza kuwa na 3000 viwanda wao wakawa na 2000 large & middle type industries tayar huwdz kuwafikia hapo naongelea type and idadi yake sijagusia vingine kabisa, so lets try being realistic tunabishana na hoja mtu mletee fact not ushabiki.Mtapata Taabu sana MiJubilee..Tanzania iliopo sasa si ya kikwete.. Mlimzoea sana Mkapa na kikwete. JPM ashafukuza wazembe serikalini na kwa miaka 2 pekee viwanda 3000 zimewekezwa, reli inajegwa, Barabara na mahospitali, umeme unazalishwa..Dua lenu nikama lile la kuku, halitampta mwewe ..Hamjui kwamba Furaha ya wa Bongo ni Jubilee iwe mamlakani kwa miaka 100..Kenya itapitwa kama imesimama, Tayari GDP(PPP) na GNI ya Tz ipo Juu ya kenya..Ndani ya miaka mbili pekee!
KAABAD THE GREATEST