fidelis zul zorander
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 685
- 176
First off, genes za intelligence ni zipi?
In addition, actually in breeding causes all sorts of medical conditions, including mental, due to lack of diversity in the gene pool.
mkuu hakuna watu wenye genetic diseases kama jews...
nimejaribu kufuatilia, all sorts of diseases ambazo zinahusiana na genetics zinawahusu hawa jamaa mfano huntington, glycogen storage diseases nk..
hii inaprove point ya mdau mmoja humu ndani kwamba hawa bandugu wanaoana humo humo kwenye familia ilikukeep hizo intelligent genes