Why is the IQ of Ashkenazi Jews so High?

Status
Not open for further replies.
First off, genes za intelligence ni zipi?

In addition, actually in breeding causes all sorts of medical conditions, including mental, due to lack of diversity in the gene pool.

mkuu hakuna watu wenye genetic diseases kama jews...

nimejaribu kufuatilia, all sorts of diseases ambazo zinahusiana na genetics zinawahusu hawa jamaa mfano huntington, glycogen storage diseases nk..

hii inaprove point ya mdau mmoja humu ndani kwamba hawa bandugu wanaoana humo humo kwenye familia ilikukeep hizo intelligent genes
 
Kuna mkishumundu mmoja humu anajiita mwaka jana 2013

Ngoja aje hapa akusome! Manake huyu jamaa mj nimeishi kwao urru na dada zake!
Sasa kaa mkao wa kula akumwagie povu!

Teh teh teh.

haongei vya maana nishakwambia huyu jamaa hajawahi kuwika mjini. Lema amepigwa mabomu hatujasema kisa mchagga, Agustino mrema alilostishwa urais na afya yake, hatujalalamika, Kombe aliuwawa hatujasema mchagga, kamanda Barlow ameuwawa hatujalalamika, Mr. Nice wamempiga na kumfilisi hatujasema wachagga. waziri Salome mbatia alikufa hatujasema ni zitto.
Pambafu hamwezi zuia ndoto.
 
Ustake ncheke,, kwanza we kabila gani.? Ili tujue Uzuri wa Kabila lako. :majani7:
 
Jews are smart and you can't do anything about it.
 
once Mwalimu Nyerere, whom I respect as the only original thinker among all our previous and current leaders in Tanzania, said, " there is no worse poverty than that of lack of capacity to think"
The whole article is bullshit. It's part of the propaganda to make Jews as semi-gods. First, what constitutes intelligence? Various people have different criteria for intelligence.I, one,do not think these are criteria or intelligence.
 
Naona mmevamia mkoa wa kilimanjaro, mkitoka kwetu mhamie basi kwa watani wetu wapare
 
ni vigezo vipi mnatumia kujaua IQ ya mtu au jamii fulani na anayepima huwa na IQ kiasi gani.??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…