Why it's not possible to talk about Tanzanian Football without mentioning Young Africans?

Magema Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,299
Reaction score
1,197
Naam! Assalam aleykhum.

Tangu jana napokea vijimeseji vya kejeli hasa juu ya uchambuzi na bashiri zangu hasa hasa baada ya bashiri ya jana kati ya young vs police, ambayo kiufupi ilikwenda na maji.

Sijakataa kuwa jana niliteleza lakini ukweli unaufaham mwenyewe kuwa jana yanga alichezea shilingi kwenye tundu la Choo, kwani haikuwa gem ngumu sana kimsingi.

Lakini kwenye huo huo uzi nilibashiri mwisho wa kocha mkuu Cedric jambo ambalo limetimia kwa 100%. Sasa kubezana kunatoka wapi sasa wanafamilia wa wenzangu wa soka?

Hii hasahasa inachangizwa na baadhi ya mashabiki wa mikia a.k.a MO FC, kujiona wametoboaaa kana kwamba wana CAFCL TITTLE kibindoni tayari.

Wanaona Yanga sio level zao tena wakati watu wakwampalange tu hawa!

Wakati wanatamba kuwa Yanga sio level zao, hao hao tena ndo kila siku wanajadili huyohuyo Yanga. Hawa watu tuwaitaje kitaalam?🤔
Acheni uzumbukuku wadau, badilikeni, hamna chochote cha ajabu.

But kama haina msingi kwako endelea tu KUKAZA FUVU!

# Magema Jr

SportsFire kahama
 
Talking about Tanzanian football anywhere in Africa today you MUST talk about SIMBA
 
Poleni Sana wanajangwani...jipangeni upya ndiyo Mambo ya utani wa jadi!
 
Tunajadili utopolo wako tabiri zako zote zinaenda kinyume sababu zimejaa unazi badala ya uhalisia
 
Naam! Assalam aleykhum.

Tangu jana napokea vijimeseji vya kejeli hasa juu ya uchambuzi na bashiri zangu hasa hasa baada ya bashiri ya jana kati ya young vs police, ambayo kiufupi ilikwenda na maji.

Sijakataa kuwa jana niliteleza lakini ukweli unaufaham mwenyewe kuwa jana yanga alichezea shilingi kwenye tundu la Choo, kwani haikuwa gem ngumu sana kimsingi.

Lakini kwenye huo huo uzi nilibashiri mwisho wa kocha mkuu Cedric jambo ambalo limetimia kwa 100%. Sasa kubezana kunatoka wapi sasa wanafamilia wa wenzangu wa soka?

Hii hasahasa inachangizwa na baadhi ya mashabiki wa mikia a.k.a MO FC, kujiona wametoboaaa kana kwamba wana CAFCL TITTLE kibindoni tayari.

Wanaona Yanga sio level zao tena wakati watu wakwampalange tu hawa!

Wakati wanatamba kuwa Yanga sio level zao, hao hao tena ndo kila siku wanajadili huyohuyo Yanga. Hawa watu tuwaitaje kitaalam?🤔
Acheni uzumbukuku wadau, badilikeni, hamna chochote cha ajabu.

But kama haina msingi kwako endelea tu KUKAZA FUVU!

# Magema Jr

SportsFire kahama
Young Africans muda muafaka kubadili jina. Kama iwe Yanga basi Young Africans lifutiliwe mbali
 
Wanaona Yanga sio level zao tena wakati watu wakwampalange tu hawa!
Hilo litaendelea kuwaponza Yanga kama hamkubaliani nalo. Ukisema upo level moja na Simba maana yake ni kwamba hauna cha kujifunza kutoka kwao, na kwamba hata ukibaki kama ulivyo, bado mnalingana tu! Basi sawa, mpo level moja na Simba!
 
Kwa sababu ni timu ya mpira wa miguu inayoendeshwa kwa taratibu za mpira wa mikono.
 
Kama mliiga Tamasha na matunda mkayaona kwann msiige vingine
Kwa sasa simba aina mwenyekit awa ndio wakwamisha maendeleo simba sports tuliwakataa pale mnao na kila kafara mnawapa wao watoeni kilo 800 mshindiliaji mshind mshind msola
 
Tabiri zako zote huwa unatabiri kujipa faraja na ndio maana tabiri zako zote kwa yanga ni kushinda ila tabiri kwa simba ni kufungwa au draw, kiufupi wewe ni mtabiri uchwara kutoka hapo utopolo.
 
Sio kweli mkuu
 
Ilipotoka ratiba ya caf simba anacheza na plateau uto waliliteka jukwaa simba.. ikaja platinum hivyo hivyo.. ilipotoka ratiba ya makundi ndio asalaleee hamsa hamsa.. tulilowa sana.. wakati simba inakwenda congo kila uto alianzisha uzi kuhusu simba.. baada ya mechi mlipotea.. ahly alipokuja mkasema nini vile.. baada ya mechi mkazidi kupotea.. tunasema mwanakulitaka, mwanakulipata tulieni dawa iwaingie vizuri
 
Back
Top Bottom