Magema Jr
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,299
- 1,197
Naam! Assalam aleykhum.
Tangu jana napokea vijimeseji vya kejeli hasa juu ya uchambuzi na bashiri zangu hasa hasa baada ya bashiri ya jana kati ya young vs police, ambayo kiufupi ilikwenda na maji.
Sijakataa kuwa jana niliteleza lakini ukweli unaufaham mwenyewe kuwa jana yanga alichezea shilingi kwenye tundu la Choo, kwani haikuwa gem ngumu sana kimsingi.
Lakini kwenye huo huo uzi nilibashiri mwisho wa kocha mkuu Cedric jambo ambalo limetimia kwa 100%. Sasa kubezana kunatoka wapi sasa wanafamilia wa wenzangu wa soka?
Hii hasahasa inachangizwa na baadhi ya mashabiki wa mikia a.k.a MO FC, kujiona wametoboaaa kana kwamba wana CAFCL TITTLE kibindoni tayari.
Wanaona Yanga sio level zao tena wakati watu wakwampalange tu hawa!
Wakati wanatamba kuwa Yanga sio level zao, hao hao tena ndo kila siku wanajadili huyohuyo Yanga. Hawa watu tuwaitaje kitaalam?🤔
Acheni uzumbukuku wadau, badilikeni, hamna chochote cha ajabu.
But kama haina msingi kwako endelea tu KUKAZA FUVU!
# Magema Jr
SportsFire kahama