Why Kenya is Referred To As a Failed State!


Inawezekana kiswahili kikawa shida hapa na pale, lkn muktadha mzima wa bandiko langu ndiyo jambo muhimu, na nadhani umeelewa.
Pia waweza kufungua uzi kuhusiana na makosa ya kiuandishi katika lugha ya kiswahili.
 
Inawezekana kiswahili kikawa shida hapa na pale, lkn muktadha mzima wa bandiko langu ndiyo jambo muhimu, na nadhani umeelewa.
Pia waweza kufungua uzi kuhusiana na makosa ya kiuandishi katika lugha ya kiswahili.

Acha kujitetea upumbavu!

As a man,unasimama unasema umekosea and its on me unabangusa matako tunaendelea na hoja!

Sio unajitetea na mavi zaidi!

Mswahili kukosea Kiswahili ni kosa lako binafsi,sema nitalirekebisha then uendelee!

Kuhusu hoja yako kwenye uzi bado ni hoja mufilisi,maana tumekuomba utupatie parameters ulizokagua na kujua beyond reasonable doubt kwamba Kenya kiulinzi haina uwezo zaidi ya Tanzania!

Parameter niliyoona unaiwekea matako sana ni hiyo ya wingi wa fujo Kenya na uchache wa fujo Tanzania...

Kua na uchache wa fujo haimaanishi ndio tupo safe,by nature Watanzania ni wakimya tofauti na Kenya!

Ndio maana kwenye happiness index Kenya wapo mbali sana zaidi yetu....

Parameters kama bajeti ya ulinzi,idadi ya missile arsenal na amory kwa ujumla wake,parameters zipo nyingi,wewe unaleta eti hakuna fujo....

Siku fujo zikitokea Tanzania ndio tutakua exposed ndio ujue tunaongelea shallow waters kiulinzi!
 

Aisee kumbe wewe una uwezo mkubwa sana wa kuchambua mada na pia unajua kiswahili vizuri mno. Safi sana.
 
 
Eliakeem....you have no idea the number of illegal firearms circulating in the united states...Lol american cities are some of the most violent places to live..gun violence is out of control in america..talk of mass shooting,gang warfare,white supremacist gun violence etc etc...anyway my point was despite all that,they have managed to build a super power country with a lot of influence in the world,so you see my bro,your reasoning is misleading...Tanzania is an island of peace,yet its just another third world dystopia..so tell me,if it were you,would you rather live on your knees in a dictatorial poverty ridden third world country or try your lucky hand in a first paced,high octane enviroment with limitless possibilities and die on your feet like a real man...i can go deeper and show you the deep correlation between capitalism,violence,success and fulfilment,but i thought you were an economist,you should know better you know.
 
dah jamaa unatokwa na povu balaa,pole sana
 
Reactions: Oii
Write your reply...

kuna watu humu kiingereza miiiingi,kichwani hamna kitu..

kenya is failed state.
 

Ahaaa haaa haaa
Bro, those are just feel good stories.
Your economy is still termed as a poor economy, despite the all misfortunes that Kenya encounter.
This come from your assertion that say..... I can go deeper and show you the deep correlation between capitalism,violence,success and fulfilment.

You talked about correlation between variables, but didn't specify how correlated are these variables. Whether +ve or -ve correlated.

But what can SAY, is crime is normally erode the welfare of the citizens. In countries which experience high crime rate, even the economic performance drop. So please do not deceive yourselves that the crime rate can elevate you to some where. That is a post hoc fallacy.
 
Lakini hatuli kinyesi ama watoto kama watu fulani ambao hawapendi kuambiwa ukweli ili warekebishe.

Ahaaa haaa haaa
Acha kutafutiza sababu, njoo huku uone JINSI tunavyogawa lavu.

Tanzania yaibuka kidedea nafasi ya juu kabisa Duniani na Africa kwa Upendo LOVE

β€πŸ’œπŸ’™πŸ’—πŸ’–πŸ’žβ™₯πŸ’•πŸ’“πŸ’šπŸ’
 

China hamna democracy but mataifa makubwa na yenye democrasia ya hali ya juu yamekuwa ombaomba kwa China. Nini maana ya democrasia kama haikusaidii ni upumbavu tu.
 
Ahaaa haaa haaa
Kiingereza mingi huku wa KDF NYINGINE Turkana inayoongozwa inchaji minyota mama kayaii.

kumbe kuna kdf mbili?
hivi kdf ya turkana nayo ni mdebwedo kama ile ya nairobi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…