Joke not taken...keep it for yo'self!
Rightfully so...
Nchi yenye amani according to who?Wewe hapo?
Nchi yenye amani watu wanapotea bila maelezo yoyote?
Nchi yenye amani kiongozi wa jamii anapigwa risasi nje ya ofisi za serikali bila maelezo yoyote?
Nchi yenye amani wafanyabishara na waandishi wa habari wanapotea bila maelezo yoyote?
Bro,hakuna mtoto hapa,serikali ndio yenye violence against peaceful citizens,hiyo ni serikali dhalimu!
Serikali imehodhi violence,yenyewe tu ndio inaruhusiwa kufanya violence wengine wote hapana!
Kama hizi kwako ni amani basi mkuu utakua mnafiki namba moja nchi hii....
Anyone is capable being a devil or a nice person whenever he/she wants....kuniletea hapa eti uamuzi wa hao akina mama,ni nonsense!
Huwezi control uamuzi wa mtu kufanya mema au mabaya,ni uamuzi wake binafsi,jukumu la serikali ni kujaribu kuzuia maovu kutokea kadri inavyo wezekana!
Mkuu,sometimes tuache unazi wa kipumbavu kabisa,Kenya ni nchi iliyopo ahead of us,hii ni fact,ku-act kama hulioni hilo inaonesha una unafiki wa ajabu sana....
Ulinzi kama ulinzi wapo mbele yetu,hata bajeti yao ya ulinzi ni kubwa zaidi ya kwetu...Kwa jamii yao ya vurugu,Kenya wanajitahidi kulinda nchi yao....Kenya ingekua na watu wapole kama Tanzania ingekua even far away....
Hapa sio kusifia nchi au kulamba watu matako,hapa tunatakiwa tujifunze yote mazuri ya wenzetu na tujifunze kwa mwendo wa haraka sana na sio kuleta viburi vya kipumbavu kama vyako!
Cha kwanza kizuri cha kuiga ni Transformative Kenyan Constitution,ile ingetakiwa tu-copy kama ilivyo tufute neno Kenya tu....
Hiki kimetushinda,na ulivyo wa ajabu unadhani eti nchi hii iende mbele bila katiba kali kama ya Kenya au Ghana,etc!
Kinachoniuma zaidi bado tunatumia katiba aliyotuachia Muingereza...na bado kuna wapumbavu wa CCM wanasema hakuna cha katiba tena!
Ulipaji wa kodi wapo 20% sisi tupo 12%....pia hili tusiige?
Power generation wametuzunguka mara kadhaa,halafu wewe unaongea ujinga gani?
Mimi naumia sana napoona wapumbavu humu Tanzania wanasherehekea mediocrity ya systems zetu hapa eti ndio uzalendo..upunguani kabisa!