Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Realistic kwa mtazamo wako, kila mtu kwa upande wake anajiona yupo realistic. Jambo linalonishangaza kwa wewe unayedhani upo realistic, ni vipi unapingana na professional organizations ambazo zimekubalika kimataifa, ambazo zinatumia scientific research methodology kufikia conclusions, badala yake wewe unayetumia mawazo na maoni yako ndio unadhani upo sahihi.For your information, mimi ni m'Bongo who prefers being realistic. Huu ushabiki mandazi wa kutafuta kujifariji is not my thing.
Kama kweli wewe unajua unachokiongea, acha upumbavu wako wa kurusha Maneno ya kijinga ya kutukana, badala yake twende sambamba point kwa point. Unaposema India itaipita China soon, wewe unazungumzia katika maeneo gani?, Mimi nimesema China imeshazipita hizo nchi za Ulaya na Japan, nikimaanisha GDP ambayo ndio kigezo kikubwa kinachotumika duniani kote.Hivi wewe mzima kweli?
Unazungumzia mataifa yaliyokwisha endelea hayawezi endelea zaidi ya Germany,UK,Japan,etc unafananisha na taifa ndio kwanza linachipua?
Hivi shule ulifundishwa concept nzima ya comparison scenerios ya hoja yoyote kweli?
Mataifa yalishakua,yalishafikia plateau siku nyingi,hayana cha kuongeza zaidi yanakua kwa 1%,wakati India ndio kwanza bikra inakua kwa 15% unprecedented kabisa!
Acha ukichaa!
China comparison yake ni India maana chumi zao ndio mpya,ndio zinakua..
Kuiweka China level za Japan,Germany,etc ambao walishavuka hata ubora wa binadamu
Wakati China ndio kwanza anapambana kusafisha pollution na ubora wa maisha ya binadamu mmoja mmoja....
Kwa kifupi angalia tu PPP ndio utaelewa Mjapan mmoja ana-earn mara ngapi ya Mchina mmoja ndio uje upige filimbi mfu hapa!
Ulivyo wa machakani utakua unaangalia pato ghafi la taifa unashindwa kujua idadi yao ni kama nyuki linanyausha pato lote into stupid numbers!
Ubora wa maisha wa mwanadamu wa United States of America huwezi compare na uchafu wa China wewe!
Nchi zilizoendelea zina mifumo imara
Kwa mfano mdogo tu China mpaka leo haina hata mfumo imara wa patients sasa sijui inventors wake wanafanyaje innovation kama hakuna ulinzi wa patients kama USA?
Ndio maana Chinese inventors wote wanakimbia China wanaenda kufanya innovation Silicon Valley,CA.
Maana kuna mfumo imara wa patients na judiciary system imara kabisa ku-guarantee justice!
Ndio maana China wanaishia ku-copy technolojia ndogo ndogo na rahisi rahisi na results zake ni upumbavu mtupu!
Nchi ya kipumbavu kama hiyo huwezi compare na nchi zenye mifumo na demokrasia imara kama USA,Germany,Japan,UK.....huwezi!
Mpaka mtu anatukana ni kwamba mnatoa claims ambazo ni preposterous mpaka zinakua offensive to people!Kama kweli wewe unajua unachokiongea, acha upumbavu wako wa kurusha Maneno ya kijinga ya kutukana, badala yake twende sambamba point kwa point.
Ndio maana nakwambia wewe bado hujajua kusoma vitu na kuelewa!Unaposema India itaipita China soon, wewe unazungumzia katika maeneo gani?, Mimi nimesema China imeshazipita hizo nchi za Ulaya na Japan, nikimaanisha GDP ambayo ndio kigezo kikubwa kinachotumika duniani kote.
USA inatajwa kama nchi tajiri namba moja duniani kwasababu tu inaongoza katika GDP, lakini vigezo vyote vilivyobaki vya maendeleo haipo hata katika tatu bora duniani, vigezo kama GDP per capita, PPP, GNI, USA imeachwa mbali sana na nchi kama Norway, Qatar na Singapore, lakini bado USA inatajwa kuwa is the biggest Economy just because of GDP, ambayo ndio tunayoitumia kulinganisha China na India, ukitaka tutumie vigezo vinfinge, basi tuanzie na USA na Europe uone kama zitaongoza duniani.
Sasa nimekuambia taja vigezo ambavyo wewe unataka vitumike ili tukubaliane kwamba ili nchi iweze kuitwa biggest economy lazima iwe imefikia. Ngoja nikusomeshe kwasababu ninajua bado akili yako ni ndogo sana.Mpaka mtu anatukana ni kwamba mnatoa claims ambazo ni preposterous mpaka zinakua offensive to people!
Yaani claims mnazotoa zinakua ni kama matusi vile ndio maana mtu inabidi na yeye atukane kulipa hilo tusi/claim iliyofanya akawa offended!
Otherwise relax,we are all internet characters here,nothing serious!
Ndio maana nakwambia wewe bado hujajua kusoma vitu na kuelewa!
Ulivyo wa machakani bado unaangalia wingi wa pato ghafi la nchi eti ndio maendeleo,unafeli sana mpaka unatia huruma!
Nakupa mifano midogo hapa usipoelewa tena thats on you not us:
1.India ina GDP sawa na UK,ila ukigawanya kwa idadi ya watu wa nchi husika unapata kua Muingereza mmoja anapata kipato mara elfu kadhaa ya mtu wa India...UK ndio maana ni nchi iliyoendelea zaidi ya India!
2.Pato ghafi la China limeizunguka Japan mara kadhaa,ila ukigawanya pato ghafi la taifa na idadi ya watu,unapata Mjapan mmoja ana kipato mara 10 ya Mchina,ina maana Mjapan ni tajiri ya Mchina mara 10!Japan imeendelea zaidi ya China,hiyo iko wazi!
Na mifano mingi mingi sana!
Ukiangalia GDP pekee yake ni ukichaa,inatakiwa uangalie na PPP!
Kwahiyo tulia na uache ukichaa!
USA inaongoza kwa GDP na PPP japokua sio neccessarily na pia factor kubwa kabisa ni SUPERPOWER!
Ndio maana ni nchi ya kwanza!
Mengine yote uliyoongea hapo ni upumbavu mtupu!
I'm sorry to sound this,maana wote wanao-refer GDP only kua ndio factor ya taifa tajiri hua ni vichaa clinically!
Mzee USA ni ya kwanza sababu ya SUPERPOWER factor ndio muhimu!Sasa nimekuambia taja vigezo ambavyo wewe unataka vitumike ili tukubaliane kwamba ili nchi iweze kuitwa biggest economy lazima iwe imefikia. Ngoja nikusomeshe kwasababu ninajua bado akili yako ni ndogo sana.
USA ... GDP per capita ni $53,000
Qatar..GDP per capita ni $150,000
Lakini USA is the biggest Economy in the World just kwasababu GDP yake ni zaidi ya $18Trl. Hii inaonyesha kwamba duniani indicator inayotumika kupima uchumi wa nchi ni GDP.
Lakini USA is the biggest Economy in the World just kwasababu GDP yake ni zaidi ya $18Trl. Hii inaonyesha kwamba duniani indicator inayotumika kupima uchumi wa nchi ni GDP.
Hivi ukisikia dunia inasema five biggest economies in the world ni 1)USA, 2)China, 3)Japan, 4)Germany, 5)UK, Unadhani hizo indicators zingine hawazijui?
Kuanzia Leo uanze kujua kwamba, bigger GDP means the Government has much money to spend
Unachanganya standard of living na ukubwa wa GDP ambazo ni hoja tofauti sana..Mzee USA ni ya kwanza sababu ya SUPERPOWER factor ndio muhimu!
GDP per capita Qatar imeizidi USA ni kweli,lakini sio superpower!
Na ndio maana nikasema nchi bora tunaangalia GDP,PPP,etc
Ila pia sio neccessarily ndio muhimu,kuna factor ya Superpower nation,na dunia hii there is only one superpower which is USA.
Katika kila rule kuna exception mzee,na hii ni exception!
Sio GDP pekee,acha kufeli!
Biggest economies wanaangalia ukubwa GDPs basi
Ila taifa "lililoendelea" wanaangaliwa watu,hapo ni GDP per capita,PPP,etc...
Ndio maana Japan au Germany ni developed nation zaidi ya China!
Elewa hili!
Again unafeli!
Ukubwa wa GDP haimaanishi eti serikali ina mapesa mengi ya kutumia hivyo ni utajiri,huu ni upumbavu unaofikiria!
Unaacha wapi idadi ya watu?Unaacha wapi ukubwa wa nchi?
Hiyo GDP unayodhani ni kubwa wakati wa matumizi unahudumia watu bilioni 1.4 na nchi yenye ukubwa wa nusu ya Africa nzima sijui unadhani hiyo GDP inatosha japo wewe kwa macho ya kizembe yako unaona ni kubwa?
Mfano mdogo ni huu hapa:
UK ina GDP 2.622Tril USD sawa na GDP ya India....
Ila India ni kubwa mno na idadi ya watu 1.4Bilioni wakati UK ina watu 66mil na eneo dogo sana ku-develop...
Ndio maana UK nchi tajiri sana zaidi ya India na inapeleka misaada India kila siku!
Concept yako ya kuangalia ukubwa wa GDP tu eti ndio taifa limeendelea ni upumbavu mpaka mwisho!
Unachanganya standard of living na ukubwa wa GDP ambazo ni hoja tofauti sana..
1) Mfano : botwana GDP ni $17b..Uchumi wao upo chini sana kulinganisha na Tz
2) Botwana GDP per capita ni $15000k, Tz ikiwa na $1000
Hoji kila swala kulingana na tija zake bila kuchanganya
Hapana mkuu.Wewe Mkikuyu wa Murang'a!
Ndio hasa nilikua namuelewesha huyo mwenzangu!
Najua tofauti na ndio maana nilikua namuelewesha jamaa kwamba ukubwa wa GDP haimaanishi ndio utajiri wa nchi,maana kuna factor ya idadi ya watu na size ya nchi!
Ndio maana nikamwambia hilo GDP analoona ni kubwa ukishaliingiza kwenye factors za ndani kama population na mengine,GDP yote inayeyuka inakua si chochote!
Ndio maana nikampa mfano Japan imeendelea na ni "bora" zaidi ya China japokua China ina GDP kubwa!
Upo upande wangu,sema tu hujui!
Wewe jaribu kusoma hoja tunazokiambia ili ujifinze inaonekana unajichanganya sana. Mapato ya nchi yanategemea sana GDP ya nchi. Serikali kawaida inakusanya kodi kati ya 12% up to 18% ya GDP yake, hivyo basi kama serikali ina GDP kubwa kama China ni $12trl. Serikali ya China inakusanya 18% ya hiyo pesa kila mwaka, ndio sababu China ina uwezo mkubwa wa kukopesha dunia, hata USA wanakopeshwa na China, wakati ukija katika GDP per capita ya China haifikii hata nusu ya ile ya USA.Mzee USA ni ya kwanza sababu ya SUPERPOWER factor ndio muhimu!
GDP per capita Qatar imeizidi USA ni kweli,lakini sio superpower!
Na ndio maana nikasema nchi bora tunaangalia GDP,PPP,etc
Ila pia sio neccessarily ndio muhimu,kuna factor ya Superpower nation,na dunia hii there is only one superpower which is USA.
Katika kila rule kuna exception mzee,na hii ni exception!
Sio GDP pekee,acha kufeli!
Biggest economies wanaangalia ukubwa GDPs basi
Ila taifa "lililoendelea" wanaangaliwa watu,hapo ni GDP per capita,PPP,etc...
Ndio maana Japan au Germany ni developed nation zaidi ya China!
Elewa hili!
Again unafeli!
Ukubwa wa GDP haimaanishi eti serikali ina mapesa mengi ya kutumia hivyo ni utajiri,huu ni upumbavu unaofikiria!
Unaacha wapi idadi ya watu?Unaacha wapi ukubwa wa nchi?
Hiyo GDP unayodhani ni kubwa wakati wa matumizi unahudumia watu bilioni 1.4 na nchi yenye ukubwa wa nusu ya Africa nzima sijui unadhani hiyo GDP inatosha japo wewe kwa macho ya kizembe yako unaona ni kubwa?
Mfano mdogo ni huu hapa:
UK ina GDP 2.622Tril USD sawa na GDP ya India....
Ila India ni kubwa mno na idadi ya watu 1.4Bilioni wakati UK ina watu 66mil na eneo dogo sana ku-develop...
Ndio maana UK nchi tajiri sana zaidi ya India na inapeleka misaada India kila siku!
Concept yako ya kuangalia ukubwa wa GDP tu eti ndio taifa limeendelea ni upumbavu mpaka mwisho!
Hapana mkuu.
Utajiri wa nchi ni GDP
Utajiri wa wananchi ni per capita( hata kama sio accurate sana kwa nchi ambazo zina inequality kama kenya)
Jamaa yupo sahihi sana akisema Gdp ndio kipimo cha utajiri wa nchi..Na nisahihi kusema Tz ni tajiri kuliko botswana
Lakini tukiongea utajiri binafsi, wananchi wa botswana ni karibu 15 times richer
Wewe jaribu kusoma hoja tunazokiambia ili ujifinze inaonekana unajichanganya sana. Mapato ya nchi yanategemea sana GDP ya nchi
Serikali kawaida inakusanya kodi kati ya 12% up to 18% ya GDP yake, hivyo basi kama serikali ina GDP kubwa kama China ni $12trl. Serikali ya China inakusanya 18% ya hiyo pesa kila mwaka, ndio sababu China ina uwezo mkubwa wa kukopesha dunia, hata USA wanakopeshwa na China, wakati ukija katika GDP per capita ya China haifikii hata nusu ya ile ya USA.
Mimi ninakushauri ujaribu kuzipitia upya hizi indicators na kila moja ujue umuhimu na matumizi yake, kila moja ina umuhimu na matumizi tofauti sana.
The biggest economies duniani niMzee sio linategemea sana ndio ilivyo,Pato la nchi ni GDP jumla ya nchi husika iliyokusanywa kwa mwaka husika!
Hii inaeleweka,hakuna haja ya kujaza server tena!
Mkuu unazidi kuchanganya zaidi!
Unachanganya Pato Zima la Taifa (GDP) na Pato Binafsi la Serikali!
GDP ni jumla ya mapato ya mtu mmoja mmoja,jumla pato la serikali,jumlisha uzalishaji wote wa nchi nzima kwa ujumla wake ndio unapata GDP!
Pato la Serikali ambalo hua ni percentage kadhaa ya hiyo GDP nzima!
Serikali ya China au serikali yoyote duniani primarily hazifanyi kazi za kukopesha watu duniani...
Mikopo kati ya serikali na serikali kwa masharti yao ya kiserikali hua hufanyika,na China sio mkopeshaji nambari one duniani historically!
Kaanza juzi tu!
Go and check your facts again!
Mkuu China ni masikini kwa USA,mkuu China kwa utajiri wa maisha ya mwananchi mmoja mmoja haifikii Japan!
Japan ipo centuries ahead of China kwa utajiri wa mtu mmoja mmoja ambao ndio true wealth na sio GDP ya jumla wanakula Communist Party of China alone!
Ndio maana nakwambia tukubali kutokukubaliana,wewe unaishabikia China,mimi USA,hatutaweza fika mwisho!
The biggest economies duniani ni
1) USA
2) China
Unakubali au unakataa?
Sent using Jamii Forums mobile app
The biggest economies duniani ni
1) USA
2) China
Unakubali au unakataa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa maana ya biggest economy maana yake ninini?, kunatofauti gani kati ya biggest economies na mataifa " tajiri"?Of course you are correct!
Ila mataifa "tajiri" yaliyokwisha endelea,China is nowhere to be seen!
The same meaning mkuu bora kufa kuliko ku survive with bad life.Kenya is a failed state, Danganyika is dead state!