luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Dear friends brother and sisters ! habarini ... matukio ya mashumbilizi ya wapenzi yanazidi kushika kasi nchini kenya. Kama tujuwavyo kumekuwepo mfululizo wa matukio ya wapenzi kuuana ..last week ivy alipigwa shoka na mtu aliyejidai ni mpenziwe SASA LEO KUNA mwanafunzi mwingine toka chuo kikuu cha pwani kaunti ya kilifi..msichana ajulikanae kama Naomi alishambuliwa na mtu anayedaiwa ni mpenziwe Henry. Henry alifika nyumbani kwa Naomi akiwa na visu vi3 ktk begi lake akaingia ndani mwa Naomi kisha akaanza kumshambulia.
WHY ALWAYS KENYA .? Hivi vitu vinazidi kuichafua nchi ya majirani ..
MK254 , Janerose mzalendo whats up people overthere
WHY ALWAYS KENYA .? Hivi vitu vinazidi kuichafua nchi ya majirani ..
MK254 , Janerose mzalendo whats up people overthere