WHY KENYA IS SHINING IN MURDER PROBE

WHY KENYA IS SHINING IN MURDER PROBE

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Dear friends brother and sisters ! habarini ... matukio ya mashumbilizi ya wapenzi yanazidi kushika kasi nchini kenya. Kama tujuwavyo kumekuwepo mfululizo wa matukio ya wapenzi kuuana ..last week ivy alipigwa shoka na mtu aliyejidai ni mpenziwe SASA LEO KUNA mwanafunzi mwingine toka chuo kikuu cha pwani kaunti ya kilifi..msichana ajulikanae kama Naomi alishambuliwa na mtu anayedaiwa ni mpenziwe Henry. Henry alifika nyumbani kwa Naomi akiwa na visu vi3 ktk begi lake akaingia ndani mwa Naomi kisha akaanza kumshambulia.

WHY ALWAYS KENYA .? Hivi vitu vinazidi kuichafua nchi ya majirani ..
MK254 , Janerose mzalendo whats up people overthere

wakenya wana wivu sana wa mapenzi na mapenzi yao yanavo honekana kuwa ya kula kiapo
 
wakenya wengi ni washamba sana ktk masuala ya mahusiano ya kimapenzi.
 
Nataka kuamini upatikanaji wa habari kenya ni mkubwa ukilinganisha na kwetu ndo maana unaona kama yana trend sana tanzania pia mauaji yapo sana sema hayatangazwi!
 
Nilishasema hiki kitu mara nyingi, wana habari wa Tanzania ni wazembe kwenye kusaka taarifa za matukio.
Hii inachangia kwa nchi kuonekana tulivu ila kimya kimya kuna mambo ya kiajabu.
Wana habari wenu hata kuhoji wako ovyo sana, niliona kwenye YouTube jana wanavyomhoji Ndugai, yaani aliwavaa wote wakabaki kimya.
 
We boya kumbe sio mkenya ni mtz kbsssss ........ila anyways nasikia kuna mwera mwingine nae kam shot demu wake risasi 47 kisa alimkataa
 
Hahahahaha, Kenya ipo nafasi ya 123 wakati Tanzania ipo nafasi ya 51 duniani katika nchi zenye amani, unategemea nini?.

Ninaweza kusema kwa uhakika, mwakani Kenya itaendelea kushuka na Tanzania itapanda, acha waendelee kuchinjana na kuuana, kisha wasingizie waandishi wa habari badala ya kujifunza jinzi tunavyodhibiti Amani ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Dear friends brother and sisters ! habarini ... matukio ya mashumbilizi ya wapenzi yanazidi kushika kasi nchini kenya. Kama tujuwavyo kumekuwepo mfululizo wa matukio ya wapenzi kuuana ..last week ivy alipigwa shoka na mtu aliyejidai ni mpenziwe SASA LEO KUNA mwanafunzi mwingine toka chuo kikuu cha pwani kaunti ya kilifi..msichana ajulikanae kama Naomi alishambuliwa na mtu anayedaiwa ni mpenziwe Henry. Henry alifika nyumbani kwa Naomi akiwa na visu vi3 ktk begi lake akaingia ndani mwa Naomi kisha akaanza kumshambulia.

WHY ALWAYS KENYA .? Hivi vitu vinazidi kuichafua nchi ya majirani ..
MK254 , Janerose mzalendo whats up people overthere

Usiwe unanitag kwa mada za kijinga kama hizi.
Watu wanakula dooh za wenyewe halafu hawalipii Mimi nitawasaidiaje?

Yapo mengi yanatendeka Tanzania japo hufichwa maana kule ni kama Korea Kaskazini, kila mtu hubabaishwa hatoi taarifa...
Japo kuna machache huangazwa kwenye vyombo vya habari kama hizi taarifa hapa chini za mama aliyechinja watoto wake sita na kujiua

Nilishasema hiki kitu mara nyingi, wana habari wa Tanzania ni wazembe kwenye kusaka taarifa za matukio.
Hii inachangia kwa nchi kuonekana tulivu ila kimya kimya kuna mambo ya kiajabu.
Wana habari wenu hata kuhoji wako ovyo sana, niliona kwenye YouTube jana wanavyomhoji Ndugai, yaani aliwavaa wote wakabaki kimya.
Ati waandishi wa habari wazembe, we have more media stations than Kenya, its well known huko kwenu hakuna amani ni kuuana uana tu. Sasa usisingizie waandishi wetu. This is just a peaceful country by nature, huwezi linganisha na your shithole murdering point.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yapo mengi yanatendeka Tanzania japo hufichwa maana kule ni kama Korea Kaskazini, kila mtu hubabaishwa hatoi taarifa...
Japo kuna machache huangazwa kwenye vyombo vya habari kama hizi taarifa hapa chini za mama aliyechinja watoto wake sita na kujiua

Matukio kama hayo bongo ni machache, sio ishu za uandishi wa habari, we are just cooler folks, huko kwenu week hii tu nishasikia mauaji ya kimapenzi zaidi ya tatu.
Sasa ni watu waliojikatia tamaa ndio huamua kuua ua tu kirahisi namna hiyo.
Dont blame our media, we are naturally warm people buda.
Wivu itakuua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hao wakenya wanaijua na kuipenda Tanzania sana. Hawana point zaidi ya wivu, ona jinsi wanavyotafuta matukio moja moja. Tanzania hatuna roho za kikatili za kuchukiana kama wanyama, unategemea nini kama ndani ya nchi kuna familia nyingi zinamiliki silaha za kivita, tena wanawake na wanazionyesha hadharani lakini hakuna hatua yoyote ibayochukuliwa?. Kenya is really a failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ati waandishi wa habari wazembe, we have more media stations than Kenya, its well known huko kwenu hakuna amani ni kuuana uana tu. Sasa usisingizie waandishi wetu. This is just a peaceful country by nature, huwezi linganisha na your shithole murdering point.

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kushangaza hua mnatusifia mko na mahospitali nzuri na nyinyi ndo watu wa Amani kushinda kila mtu alafu mwisho wa siku watanzania wengi huzikwa kuliko wakenya
 
Ati waandishi wa habari wazembe, we have more media stations than Kenya, its well known huko kwenu hakuna amani ni kuuana uana tu. Sasa usisingizie waandishi wetu. This is just a peaceful country by nature, huwezi linganisha na your shithole murdering point.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bora uwe na media moja ya waandishi wa habari wajasiri na wanaothubu kuliko kuwa nazo nyingi zilizojaa mazombi waoga waoga wao kutwa wanaandika vituko vya Diamond na vimada wake, media zenu ovyoo.
Nafuu yenu mna media ya Kikenya Citizen ambayo hupigwa ban kisa wana huo uthubutu.
 
Hata hao wakenya wanaijua na kuipenda Tanzania sana. Hawana point zaidi ya wivu, ona jinsi wanavyotafuta matukio moja moja. Tanzania hatuna roho za kikatili za kuchukiana kama wanyama, unategemea nini kama ndani ya nchi kuna familia nyingi zinamiliki silaha za kivita, tena wanawake na wanazionyesha hadharani lakini hakuna hatua yoyote ibayochukuliwa?. Kenya is really a failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania mnakufa kuliko wa Kenya... Unajua siku zote Yule ambae anapenda kuita wenzake wachoyo au wadaku au wenyewe wivu hua ndo wamejaa uchoyo/udaku/wivu na hua anajaribu Ku project hizo feeling zake Kwa wengine.... Mtaani mtu mdaku siku zote hua anazunguka akiambia waju 'Yule jamaa flani ni mdaku Sana, imagine juzi aliskia flani akiongea hivi na hivi, akaenda akamwambia flani na flani alafu Leo nimemuona kule kichinjoni akiongea na flani pekeyake...blah blah' ..... Mtu wa wivu pia hua hivyo hivyo.....ye ndo wa Kwanza kunyosha kidole cha kulaumu wengine wana wivu..

Tunajua nyinyi Watanzania ndo mnaongoza Kwa uchawi na ushirikina na hizo tamaduni hutegemea Sana watu walio na wivu, chuki...etc... Ukishikwa na homa wiki mmoja unaenda Kwa mganga anakwambia ni jirani yako alikuloga.... Unaanza kumchukia jirani yako bila sababu. Ikikosa mchumba unaambiwa no laana flani uliwekewa na mpenzi flani wa kitambo na itabidi usage mifupa ya albino na umwage Chini ya kitanda Kwa siku Saba ili uregeshe bahati....maskini unaenda kuua mtoto wa watu ambaye makosa yake ni kuzaliwa bila rangi !
 
Matukio kama hayo bongo ni machache, sio ishu za uandishi wa habari, we are just cooler folks, huko kwenu week hii tu nishasikia mauaji ya kimapenzi zaidi ya tatu.
Sasa ni watu waliojikatia tamaa ndio huamua kuua ua tu kirahisi namna hiyo.
Dont blame our media, we are naturally warm people buda.
Wivu itakuua

Sent using Jamii Forums mobile app

Yapo mengi sana, ni kwamba hayatangazwi maana kwanza nyie wenyewe wazembe, waoga halafu nchi yenu kubwa yenye wilaya kubwa ambazo hata wakuu wa wilaya hawazifikii zote, hivyo mnaishia kuwa na matukio mengi ya kiajabu ajabu kama vile kuwatafuna albino ila hairipotiwi.
 
Jibu rahisi tu culture za wakenya ziko tofauti na wa Tz mengine yote ni majibu saidizi ktk jibu hili kuu. Kenyans are more violent na Tzns wapo humble hii ipo wazi.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom