Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Sababu kuu ni kuwa Magu anawatenda vibaya muno. Ukiacha AB Inbev, Heineken nao wako mbioni kuja. Hii negative coverage yao inausishwa na sakata la makaa ya mawe kwa ajili ya viwanda vya saruji.
Kama mnakumbuka vizuri ile ban ya makaa ya mawe ya kutoka Afrika Kusini ilisababisha Dangote kulalamika na kupewa coal deposits Kiwira ama Mchuchuma. Sasa basi Magu alimpa under condition ajenge mining plant within a fixed time na hii kupelekea kusimamisha mradi wake wa saruji Kenya.
Wapuuzi wanaoponda humu ndani hawajui hatua ya Magu ku-ban uingizaji wa makaa ya mawe toka nje imesababisha nini nchini? Kiufupi imetengeneza mahitaji ya makaa ya mawe maana viwanda vya saruji mbali na kutumia makaa ya mawe kwa nishati hutumia pia fly ash kama ingredient ya kutengenezea cement.
As a result Kibo mining wanaanza kujenga kiwanda cha kuzalisha umeme mbali ya mgodi wa makaa wa mawe. hili lisingewezekana kama magu asingezuia uingizaji wa makaa ya mawe toka South Africa. Mchina wa Mchuchuma na Liganga nao wamechimbwa biti kuwekeza au kunyang'anywa machimbo. Wanakuja mbio.
Pili Dangote amepelekewa gas mpaka kiwandani kuona hivyo Mchina nae kaja kuwekeza Tanga hatujakaa vizuri Mpakistan nae kaja na juzi tu Mu-irish nae kaja, halafu wote ni mega investments (in total over 20mln tonnes of cement in next 5 years).
Hii yote ni kutokana na massive infrastructures Magu anazowekeza
wanaona electrical SGR at 160km/h pili Stiegler's Gorge hydropower project ukiachilia mbali mradi wa Bagamoyo na wa SGR toka Mtwara on the Indian Ocean to the port of Mbamba Bay on Lake Nyasa ambao feasibility yake imeanza na mradi utatangazwa pretty soon. Kwanini wasije?
Mradi wa mbolea wa Ferostaal Lindi nao huo waja ukiacha na mingine chungu nzima. Right now most clinker for cement production in the EA comes from Tanzania as it has the largest deposit of limestone and the same is happening fast with steel, coal and gas aside several factories. Lazma povu liwatoke kwa mafanikio yote hayo soma hapa.
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11, Hamster255