Wote tumekisoma madarasani. Binafsi ni lugha ya 3 kujifunza. Hivyo kama kuna makosa kausha lengo ni ujumbe kufika boss. Maana hata uzi unasomeka kidhungu!Mkuu mimi sijui kingereza. Mimi sio mtumwa wa waingereza. Nimtanzania nae tokea Congo. Qui!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote tumekisoma madarasani. Binafsi ni lugha ya 3 kujifunza. Hivyo kama kuna makosa kausha lengo ni ujumbe kufika boss. Maana hata uzi unasomeka kidhungu!Mkuu mimi sijui kingereza. Mimi sio mtumwa wa waingereza. Nimtanzania nae tokea Congo. Qui!!
middle income ipi pumbavu wewe mna Rais anaiba Eurobond funds kujenga real estate project.Alikuwa anadhani ningepinga kuwa Kenya tuna masikini, amesahau kwao hata hio middle class ni ndogo sana na imeanza kugrow baada ya Ujamaa kuisha. Hio ni kumaanisha most of them are still poor because of ujamaa, although equally poor. Sisi tuko unequally poor, which is a good thing.
What??😀😀😀Hio kila mtu anajua. Lakini T.Z kila mtu ni masikini, afadhali Kenya
What??Check out @kenyanwalstreet’s Tweet: Kenya is being controlled by only 3% of the people 97% your are all poorAlikuwa anadhani ningepinga kuwa Kenya tuna masikini, amesahau kwao hata hio middle class ni ndogo sana na imeanza kugrow baada ya Ujamaa kuisha. Hio ni kumaanisha most of them are still poor because of ujamaa, although equally poor. Sisi tuko unequally poor, which is a good thing.
The big difference btw JPM and UK is JPM is a doctor and UK is a drunkerLooking at your thread, a narrow minded Tanzanian might be fooled to see a first world Tz in less than 10 yrs. Wake up man if you are dreaming!
Bhang smoker to be preciseThe big difference btw JPM and UK is JPM is a doctor and UK is a drunker
Mkuu sorry kwa hii postMi nlijua utaendelea na singeli km ilivyo kichwa cha habar
Kenya falls in ‘Failed State Index’ rankingsTena masikini maiti ambao hawana hamu kabisa ya kubalisha sera za ajabu ajabu ambazo zimekuwa zikiwatafuna tangu wapate uhuru. Yaani wapo wapo tu. Wanasema Kenya ikianguka ndio wao watapaa. Mungu atuonee huruma sisi waafrika.
Kama ugatuzi ulifika hadi kwenu na bado uko jobless lazima utakuwa wewe ni kilaza wa kutupwa. Maendeleo utapata kwa shuruti, upende usipende. Acha nyef nyef.Bhang smoker to be precise
Brathee tulisema hakuna kuchomeana CV. I thought we settled this some times backKama ugatuzi ulifika hadi kwenu na bado uko jobless lazima utakuwa wewe ni kilaza wa kutupwa. Maendeleo utapata kwa shuruti, upende usipende. Acha nyef nyef.
😀😀😀😀😀😀Brathee tulisema hakuna kuchomeana CV. I thought we settled this some times back
Kweli lakini masikini wa tz anangombe mbuzi shamba nyumba vip nawa huko ambae hana hata pakupanda mauaHio kila mtu anajua. Lakini T.Z kila mtu ni masikini, afadhali Kenya
Sikuhizi wana panic. Wameshindwa kujenga hojaNonsense
You always make me happyBrathee tulisema hakuna kuchomeana CV. I thought we settled this some times back
Ugatuzi upi huo GoK haiwezi kutoa budget yake?Kama ugatuzi ulifika hadi kwenu na bado uko jobless lazima utakuwa wewe ni kilaza wa kutupwa. Maendeleo utapata kwa shuruti, upende usipende. Acha nyef nyef.
Ni wazi kwamba hujui chochoote kuhusu ugatuzi.Ugatuzi upi huo GoK haiwezi kutoa budget yake?
So unataka evidence GoK has no enough funds to budget county governments?Ni wazi kwamba hujui chochoote kuhusu ugatuzi.
Hio kila mtu anajua. Lakini T.Z kila mtu ni masikini, afadhali Kenya