Why Kenyan women are having a hard time finding love in the Diaspora


Quite a challenge, if you read the article, they claim to only date Americans and are shunning African men, but in my opinion, any man can be what you want him to be.
 
It is a normal phenomena amongst women, they tend to under appreciate their men and feel foreigners are better.
 

I am still single and looking around for a gal. Mind hooking me up with ur sister,Bulldog the dog?
 
sio eti wamekoswa na upenzi, ni vile mi niko hawataki kumpenda mwingine.

sio kwa ubaya wenyezi wangu, na sio kwa shida zako zikujayo...

nitamwoa mmoja, yule msawa tena, na nitawawachia wale wengine.

mhidi lakini, ukimpata. ukimkora, naye mi nitakukora, nimgeushe awe mke wangu.

wenye wezi, yaani wenyezi, wazidi, wenye jezi, yaani wenjezi, yahidi. (and yes, i know, you didn't understand that. it's not for you to understand. umeniskia mke wangu???)
 

Mwalimu Nyerere alikosea sana kusisitiza Watanzania kutumia Kiswahili na kuchukia Kingereza maana mnapata tabu sana kwa taarifa ambazo zimeandikwa kwa Kingereza. Yaani hata usome mara ngapi bado haujaelewa kinachosemwa hapa. Na hii ndio mojawapo inayowaponza kiuchumi.
 
Jamani kwenye ukweli tuseme ukweli..mimi nimekaa sana Nairobi ...nimejaribu kutafuta flavours za kike lakini hakuna kabisa huku...yaani wanawake wa huku siyo wazuri ..na akiwa mzuri usoni basi yale maumbo ya kike ni zero kabisa...yaani mpaka leo sijamuona demu aliye kamilika kikekike kama wa kibongo kwa kweli!!!...na tabia zao wengi ni za kiumeume.....dah! najuta!!Huku kumpata demu beautiful and sexy sahau!
 

Kuwa mkweli, tatizo ni kwamba huwezani na assertiveness na sophistication ya madem wa ki-Nairobi, they can be very intimidating for an inferior guy.

Mademu ambao nimeona Bongo wapo kidogo kufikia mizuka ya wale Ki-Nairobi ni wale wakutoka Kilimanjaro, aisei nilikumbana nao Dar mjini na nilipenda sana.

Haya mengine yote unasema sijui eti umbo la kike ni jinsi tu ya kujifariji maana msomi yeyote anaelewa nchi zetu hazikuwepo kabla mzungu hajaja na hamna tofauti ila imaginary boundary. Nimekaa na Wasukuma na Wahaya ambapo hamna tofauti yao na Waluhya wakwetu. Wamaasai wa pande zote mbili hawana utofauti, vile vile Wajaluo na hata ukienda Pwani ya kwetu na Pwani ya kwenu hamna tofauti.
 

Labda unajifariji tu lakini mi nipo hapa for 7 yrs now....hata hao wa kilimanjaro/Arusha sio wengi waliokamilika chini hadi juu...labda wawe wamechanganyika na makabila mengine..lakini siyo wale pure....wale pure wanafanana na wa Nai hasa kuanzia kiunoni hadi chini ndipo mambo yalikoharibika.

Maeneo hayo ni vigumu kumpata msichana umbo namba nane na sura ya kuvutia!!!huo ndiyo ukweli...mimi nina girl friend wa kikenya ana sura nzuri lakini kuanzia kiunoni ni majanga...
 

Aidha itakua haujaonja darasa ya shule ama ulikua kilaza sana, nimekuambia hapakuwa na Tanzania, Uganda, Kenya n.k. kabla hajaja mzungu, hivyo hakuna vile itawezekana ukasema Mungu aliumba Watanzania vinginevyo zaidi ya Wakenya maana wote ni watu wamoja ambao mpaka uliwekwa na mzungu.

Mimi nime-date mademu wa tabaka mbali mabli kuanzia kwetu Kenya hadi mbali sana ndani ya mikoa tofauti ya Tanzania na pia Waganda. Tofauti ni tabia ila mengine yote wote sawa. Ninachofahamu mwanaume mwenye mapungufu ya nguvu za kiume hutumia vigezo vya ajabu ajabu ili kujifariji, mara anaangalia miguu, sura, urefu, ufupi n.k. Lakini ukiwa dume la kweli lenye uwezo wa kiume utajipata unafurahia urembo wa kila mwanamke.

Labda nikushauri, hebu katafute mbegu zinaitwa mlonge, mimi huzitumia sana na nakuhakikishia zinampa mwanaume nguvu sana. Zipo Nairobi na hata Dar es Salaam. Usione aibu, utafiti wa Kisayansi umebainisha ni mbegu muhimu sana kwa mwanaume na kuanzia siku utaanza kuzitumia utasahau kuwabagua wanawake kwa matabaka na wote watakua warembo kwa macho yako. Soma zaidi hapa.

 
True, even in Tanzania women always used to prefer jamaaz from Kenya, Congo and other countries.

Like you always hear Kenyan women pamper Nigerian men with praises hoping to find one with ridiculous claims like they are more romantic and know how to treat women, I visited Nigeria and I was shocked how Nigerian women have nothing good to say about their men. It's funny and interesting.
 
It is a normal phenomena amongst women, they tend to under appreciate their men and feel foreigners are better.

Its not true, Have you ever had a chance to ask a Tanzanian girl.. about their men...?
Hiyo mentality is being possessed by Kenyan women only.
 
Its not true, Have you ever had a chance to ask a Tanzanian girl.. about their men...?
Hiyo mentality is being possessed by Kenyan women only.

Man, Tanzania top class ladies date Kenyan men all the time and have low opinion on their male counterparts.

Labda wale wa uswazi ndio wamezoea kuwasifia nyie, lakini nenda kwenye corporate world ya Bongo utakuta sophisticated ladies ambao hawaishi kutupenda maana a Kenyan guy kwenye michezo ya classic romance huwa hatuchelewi.
 

Ha ha ha yaani demu wa kibongo ashoboke na mkenya

Haitatokea
 

I personally have no appetite for your glutting lies when it comes about ROMANCE.

You people aren't even romantic creatures... to the extent ya kuvutia wasichana wa kibongo.

kenyan weman wasingekuwa watu wa kulaamika kila kukicha.
Labda utuambie kwamba wanawake wa kikenya wana ugly-looks, ndio sababu hamna time nao.
Hapo labda tungewaelewa.
Ukiachilia mbali wanaume wa kikuyu na luo pia kuwa na sura mbaya.
 

Wee baki hapo ukibisha wakati tunawachukua mademu wenu, fuatilia takwimu ndo utakoma. Wabongo kwa kweli romance hamna, mimi nilikua na demu Mbongo halafu hata kumshika mkono barabarani tukitembea inakua kama sinema, Wabongo wametukazia macho wakati kwetu jambo la kawaida tu.

Nikimpeleka kwenye mabeach halafu tunakiss sasa ndio usitake, inakua ndio movie kabisa. Hamjazoea kuyaona hayo. Halafu your girls are sex starved, hamuwapei ngoma sawa sawa, maana akikumbana na mizuka ya Kikenya haishi kusifia hadi unashangaa kwani kunani.
 

Refer to the Bulldog post #10 .

Without periphrasis, kwa ujumla wake ninyi hamko poa kwenye idara hii.

You can't be a romantic, and still being beaten by your lady like a Dog.
 
Last edited by a moderator:
Refer to the Bulldog post #10 .

Without periphrasis, kwa ujumla wake ninyi hamko poa kwenye idara hii.

You can't be a romantic, and still being beaten by your lady like a Dog.

It depends on what you understand about romance, like I said, you guys are naive, you must understand there are some men who get orgasm when slapped by a lady, they enjoy it.

Tayari niambie nikufunze mambo haya... romance 101 for Tanzania men. Kazi yenu kudunda wanawake ili kujifariji kwa mapungufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…