Why Kenyans considered as pure Swahili speakers in East Africa compared to Tanzanins

Why Kenyans considered as pure Swahili speakers in East Africa compared to Tanzanins

Why Kenyans considered as pure Swahili speakers in East Africa compared to Tanzanins
Ni kwa watu ambao hawafanyi research nilikuja kujua kuwa Tanzania tunathaminika kwa kiswahili baada ya Google kuwapa tenda kampuni ya Kenya kulocalise products na pages zao kwa Kiswahili ila wakawambia wanataka watumie kiswahili cha Tanzania ambacho ni Kiunguja dialect kiasi kwamba ikabidi hiyo kampuni ya Kenya itafute watanzania kufanya hiyo kazi na mpaka leo language lead wao ni mtanzania. Kiswahili fasaha ni dialect inaitwa Kiunguja
 
Kiswahili cha kenya kinachekesha ,utakuta mtu anasema"ako na pesa mingi"badala ya "yuko na pesa nyingi au anapesa nyingi"
 
Wana kiswahili kibovu sana, basi tu kwa vile sisi hatujui kujitangaza. "Madhee" ndio kitu gani...
 
Back
Top Bottom