Why Kenyans considered as pure Swahili speakers in East Africa compared to Tanzanins

Why Kenyans considered as pure Swahili speakers in East Africa compared to Tanzanins

Kenya kwenye kiswahili kizuri ni Mombasa tu. Na Tanzania kwenye kiswahili kizuri fasaha unguja , tanga ( wasegeju,wadigo na wazigua) makabila yaliyobaki wanakiswahili kibovu tu alafu kibaya .. kiswahili chao kinanyooka wakija mikoa ya pwani
 
Shida ni watawala
Kuna mengi Tz inapoteza kwa uzembe na ubinafsi wa watawala.
Kenya hapana wana kamchezo hakako sawa huko youtube ndio balaa. Wana push YouTube channels za kwao za Tz wanajua vile wana

Kenya imetajirika kupitia mgongo wa Tz kupitia mazao ( miti/mbao, matunda/ parachichi machungwa nanasi ndizi zabibu tikiti maji etc. Vitunguu nyanya tangawizi mahindi mchele etc)
Watawala wanatengenezea utajiri Kenya.

Kuna mwingine anasema waJenge twin towers Kenya sio Tz. Huu ni zaidi ya ujinga…

Mods Punguzeni kufuta comments za kulitetea Taifa.
Ni wananchi pekee watalikomboa taifa sio vyama vya siasa.
Tufikirie watoto wetu na watoto wa watoto wetu.
Tusaidiane sio kuumizana
 
Why Kenyans considered as pure Swahili speakers in East Africa compared to Tanzanins
By who?? Stop bringing politics in this, it is insanity to come up with that argument. Kenya is a country that has been colonised by its ethnicity nationwide. Jaluo people, kikuyu, kalenjins, kisii, meru and all other local tribes in Kenya do use their local dialects in conversing from district to national level. Swahili is only used in offices n official platforms. Considering this, is this logical to come up with that unreasonable conclusion of yours??? In tz, not only the coastal region but the whole country uses swahili as its first language. You may spend a week in tz without hearing people conversing in their mother tongues, is this possible in kinyaa within an interval of an hour in a public place?? Over my dead body😂😂
Tzdians, somali n Ethiopians are a few among the African countries that opted to use swahili despite the western influence. The rest of the countries, 99% aligned to use the language of their oppressors. We should be proud of Tzdians n tz at large
 
Back
Top Bottom