Kaka Tanzania katika huduma za Afya tupo juu Sana hapa Africa, 98% ya watanzania Sasa hivi wanatibiwa hapa nchini ambao awali walikua wanapaswa kupelekwa nje ya nchi.
Kwa matibabu ya Cancer ninaweza kusema bila wasiwasi wowote kwamba hata South Africa hawatufikii(Public Hospitals)
Hiyo Cochlear implant kwa hapa Africa inafanyika South Africa, Egypt na Nigeria pekee, tunao wakenya na mataifa mengine yanayotuzunguka wanaoleta watoto wao wenye matatizo ya kusikia kwa ajili ya kufanyiwa hiyo procedure.
Kuhusu upasuaji wa moyo, hapo ndipo tunatamba hapa Africa