joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Onyesha Hospitali yoyote ya serikali Kenya iliyofanya Operation ya "Cochlear implant"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kile mnaambiwa kabla ya kukurupuka uwe unafanya utafiti kama nchi zingine Africa wanazo pia., mna expose a lot of your ignorance humu., mitanzania duh! [emoji23] [emoji23]
Weka ushahidi kuthibitisha Kama Kenyatta Hospital imeshawahi kufanya hii operationKwa mjibu wa CCM [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ., mnapenda kujikweza mahali hampo.., eti Tanzania.,
so kufanya hiyo implant inamaanisha hakuna hospitali hapa East Africa inawezi kufanya?., kilaza wewe., doing one successful operation isn't a measure eti nyie mababe., leta mgonjwa mwenye hilo tatizo Kenya ujioneeOnyesha Hospitali yoyote ya serikali Kenya iliyofanya Operation ya "Cochlear implant"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo unataka kusema hajawahi kutokea huyo mgonjwa Kenya?so kufanya hiyo implant inamaanisha hakuna hospitali hapa East Africa inawezi kufanya?., kilaza wewe., doing one successful operation isn't a measure eti nyie mababe., leta mgonjwa mwenye hilo tatizo Kenya ujionee
Am not sure, mie sijasikia pengine unielezee wewe..,Kwa hiyo unataka kusema hajawahi kutokea huyo mgonjwa Kenya?
Kubuka pia ocean road cancer institute has dedicated doctors kazi yao kubbwa na ubinifu ni kupasuwa vichwa za zezeta, badaye inplant a semi card.Kumbukeni kwamba Tanzania tunatibu wagonjwa wa Saratani bure bila malipo yoyote, hapa Ocean Road Cancer Institute Kuna vifaa vyote hadi PET scanner, vyote ni bure bila malipo.
Kaka Tanzania katika huduma za Afya tupo juu Sana hapa Africa, 98% ya watanzania Sasa hivi wanatibiwa hapa nchini ambao awali walikua wanapaswa kupelekwa nje ya nchi.Am not sure, mie sijasikia pengine unielezee wewe..,
Wanaotibiwa tz ni walala hoi lkn mabwenyenye wa tz wanakuja kenya kw ajili ya matibabu mzee...Kaka Tanzania katika huduma za Afya tupo juu Sana hapa Africa, 98% ya watanzania Sasa hivi wanatibiwa hapa nchini ambao awali walikua wanapaswa kupelekwa nje ya nchi.
Kwa matibabu ya Cancer ninaweza kusema bila wasiwasi wowote kwamba hata South Africa hawatufikii(Public Hospitals)
Hiyo Cochlear implant kwa hapa Africa inafanyika South Africa, Egypt na Nigeria pekee, tunao wakenya na mataifa mengine yanayotuzunguka wanaoleta watoto wao wenye matatizo ya kusikia kwa ajili ya kufanyiwa hiyo procedure.
Kuhusu upasuaji wa moyo, hapo ndipo tunatamba hapa Africa
Pua ya Issack Rutto ilipelekwa South Africa[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaotibiwa tz ni walala hoi lkn mabwenyenye wa tz wanakuja kenya kw ajili ya matibabu mzee...
Kwanza karibia EA yote kimbilio lao kenya, we fukara utajulia waoi vitu km hvyo..maradhi yako makubwa tumbo la kuendesha
Wanaotibiwa tz ni walala hoi lkn mabwenyenye wa tz wanakuja kenya kw ajili ya matibabu mzee...
Kwanza karibia EA yote kimbilio lao kenya, we fukara utajulia waoi vitu km hvyo..maradhi yako makubwa tumbo la kuendesha
EA upande wa healthcare kw ujumla tuko vizuri mkuu, hawa majamaa walikuja kuturingishia hapa kw majengo wakisema hospitali kumbe yalibaki kuwa magofu hivi sasa ndio wanataka kununua vifaa kw zile hela za IMFKuna hili bango nimeliona Uganda, inapaswa liwekwe na Tanzania pia wafaidi kwa hii molecular imaging ya kwanza EAC yote
View attachment 1981410