[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa madoctor naomba mje mtoe biological answer ila mimi naomba nikujibu kiroho zaidi kulingana na imani yangu kwenye biblia kitabu cha mwanzo Mungu alitoa adhabu kwa mwanamke na kwa mwanaume ambapo mwanamke alipewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu na mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho,hii adhabu ilitolewa pale bustani ya eden baada ya adam na eva kula tunda la mti wa kati.
Asante kwa kuchangia kwa imani maana ina relate na maandiko kwa waaminio kwa uelewa wangu binafsi nachojua mm maumivu ya uchungu hutokana na presure ya asili ilimo ndani ya tumbo la uzazi ambayo husababisha contraction wakati mtoto ame karibia kutoka pia presure hiyo husukuma vichocheo (oxtocin homone) ambayo humfanya mama ajiskie kusukuma kama vile hamu ya haja kubwa ile mitanuko ya uterus na cevix ndo huleta maumivu ya hatar hasa chini ya kitovu kuuno na mgongo kwa baadh ya wa mamaKwa madoctor naomba mje mtoe biological answer ila mimi naomba nikujibu kiroho zaidi kulingana na imani yangu kwenye biblia kitabu cha mwanzo Mungu alitoa adhabu kwa mwanamke na kwa mwanaume ambapo mwanamke alipewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu na mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho,hii adhabu ilitolewa pale bustani ya eden baada ya adam na eva kula tunda la mti wa kati.
Asante kwa elimu huyo,dooh uchungu wa kuzaa hauelezeki kwa wale ambao wameingia labor kama mimi hope wananielewa its something we cant explainAsante kwa kuchangia kwa imani maana ina relate na maandiko kwa waaminio kwa uelewa wangu binafsi nachojua mm maumivu ya uchungu hutokana na presure ya asili ilimo ndani ya tumbo la uzazi ambayo husababisha contraction wakati mtoto ame karibia kutoka pia presure hiyo husukuma vichocheo (oxtocin homone) ambayo humfanya mama ajiskie kusukuma kama vile hamu ya haja kubwa ile mitanuko ya uterus na cevix ndo huleta maumivu ya hatar hasa chini ya kitovu kuuno na mgongo kwa baadh ya wa mama
Thanks kwa elimu ndugu can u explain something about ischemic how does it relate to labour pain?Asante kwa kuchangia kwa imani maana ina relate na maandiko kwa waaminio kwa uelewa wangu binafsi nachojua mm maumivu ya uchungu hutokana na presure ya asili ilimo ndani ya tumbo la uzazi ambayo husababisha contraction wakati mtoto ame karibia kutoka pia presure hiyo husukuma vichocheo (oxtocin homone) ambayo humfanya mama ajiskie kusukuma kama vile hamu ya haja kubwa ile mitanuko ya uterus na cevix ndo huleta maumivu ya hatar hasa chini ya kitovu kuuno na mgongo kwa baadh ya wa mama
Pole sana jamani hatuna budi kuwaheshimu mama zetu kwa kweli one my dr aliwahi kuniambia labour pain ndo uchungu wa kwanza duniani ikifuatiwa na maumivu ya mkanda wa jeshi(herpetic zooster)Asante kwa elimu huyo,dooh uchungu wa kuzaa hauelezeki kwa wale ambao wameingia labor kama mimi hope wananielewa its something we cant explain
Wanaume waheshimuni sana wake zenu jamani loh
Duuh kazi ipoAsante kwa kuchangia kwa imani maana ina relate na maandiko kwa waaminio kwa uelewa wangu binafsi nachojua mm maumivu ya uchungu hutokana na presure ya asili ilimo ndani ya tumbo la uzazi ambayo husababisha contraction wakati mtoto ame karibia kutoka pia presure hiyo husukuma vichocheo (oxtocin homone) ambayo humfanya mama ajiskie kusukuma kama vile hamu ya haja kubwa ile mitanuko ya uterus na cevix ndo huleta maumivu ya hatar hasa chini ya kitovu kuuno na mgongo kwa baadh ya wa mama
AiseeeMama miaaa...najisifu mimi ni nwanamke kwa kuwahi kuingia labor. Yale maumivu yamepita neno lenyewe maumivu hasa pale ambapo kichwa killee kinaaonekana hahaaaaaa.
nikweli kabisa wakati huu mama hupata maumivu yenye akili zake hapa hata akili huruka kwa baadhi ata mtusi hata mumewe na kuapa kuto rudia tena hataman tena mtoto hukata tamaa na kuhisi roho ina mtoka ata punguza nguvu ya kusukuma wakati mtoto yupo mlangon na kuna hater ya kunyw uchafu na kuchoka zaidi hapa mtaalam ukiwa mzembe mtoto ana weza poteza maisha ina bidi kua mkalii na shap na hata kumrudisha ktkt hali ya kawaida kwa makof kadhaa kwenye mapaja mtoto akitoka zina fata hongera na poleMama miaaa...najisifu mimi ni nwanamke kwa kuwahi kuingia labor. Yale maumivu yamepita neno lenyewe maumivu hasa pale ambapo kichwa killee kinaaonekana hahaaaaaa.
Mkuu hakuna lugha nyepesi sie ambao sio wataalam wa hayo mambo tukaelewa? maada duu si mchezoKwanza kabisa,,,mama mjamzito anapofikia miez kuanzia 8,,,mtoto anaanza kuzalisha hormone iitwayo Adrenocorticoid,,,hii hormone husafiri kwenda kwa mama kupitia placenta na hatimae kupunguza uzalishaji wa projesterone hormone na ku hamasisha uzalishaji wa prostaglandins hormone,,,kupungua kwa projesterone huipa nafasi oxytocin hormone kutoka kwenye ubongo na kusababisha contraction ya uzazi,,wakati huo prostaglandins ikiongeza power of contraction,,,hali hii huendelea kufuatia positive feedback mechanism na hatimaye huleta maumiv,,,,,,,ni uelewa wangu tu mdogo ngazi ya form6
uko vizuri kaka ingawa kuna nyongeza kidogo tu.. hormone inaitwa adrenocorticotrophic, pia prostaglandins sio hormones ni eicosanoids flani zinazokua produced kwa shughuli mbalimbali mwilini ikiwemo hiyo ya contraction, pia prostaglandins zinastimulate pain receptors (nociceptors) kuweza kudect pain zinazokuwa mediated na kinins abazo nazo huzalishwa mda huo, kwa hiyo hapo prostaglandins zinachochea maumivu kwa sababu ya contactions na stimulation ya nociceptors.Kwanza kabisa,,,mama mjamzito anapofikia miez kuanzia 8,,,mtoto anaanza kuzalisha hormone iitwayo Adrenocorticoid,,,hii hormone husafiri kwenda kwa mama kupitia placenta na hatimae kupunguza uzalishaji wa projesterone hormone na ku hamasisha uzalishaji wa prostaglandins hormone,,,kupungua kwa projesterone huipa nafasi oxytocin hormone kutoka kwenye ubongo na kusababisha contraction ya uzazi,,wakati huo prostaglandins ikiongeza power of contraction,,,hali hii huendelea kufuatia positive feedback mechanism na hatimaye huleta maumiv,,,,,,,ni uelewa wangu tu mdogo ngazi ya form6
Kwa kifupi fertilization inafanyika kwenye Fallopian tube then implantation(attachment of embryo to the uterine cavity) kwenye Uterus.mimi swali langu
mwisho wa uke kule ndani kwenye shingo ya kizazi kuna katundu flani ambacho naskia ndipo shahawa ikichujwa huingia hapo na kwenda kwenye ovarian na kutunga mimba!nnachotaka kujua je kuna tundu lingine pale kwenye shingo ya kizazi?je mtoto hutokea hapo katika hako katundu au anatoboa lake?je damu ya bleed hutokea kwa wapi?na mtoto akitoka kule ndani panakuwaje kwa muda mchache?
mimi swali langu
mwisho wa uke kule ndani kwenye shingo ya kizazi kuna katundu flani ambacho naskia ndipo shahawa ikichujwa huingia hapo na kwenda kwenye ovarian na kutunga mimba!nnachotaka kujua je kuna tundu lingine pale kwenye shingo ya kizazi?je mtoto hutokea hapo katika hako katundu au anatoboa lake?je damu ya bleed hutokea kwa wapi?na mtoto akitoka kule ndani panakuwaje kwa muda mchache?
mimi swali langu
mwisho wa uke kule ndani kwenye shingo ya kizazi kuna katundu flani ambacho naskia ndipo shahawa ikichujwa huingia hapo na kwenda kwenye ovarian na kutunga mimba!nnachotaka kujua je kuna tundu lingine pale kwenye shingo ya kizazi?je mtoto hutokea hapo katika hako katundu au anatoboa lake?je damu ya bleed hutokea kwa wapi?na mtoto akitoka kule ndani panakuwaje kwa muda mchache?
Asante kwa elimu nzuri uliyotupatia,binafsi mimi nilikuwa na elimu ya kiiman zaidKwanza kabisa,,,mama mjamzito anapofikia miez kuanzia 8,,,mtoto anaanza kuzalisha hormone iitwayo Adrenocorticoid,,,hii hormone husafiri kwenda kwa mama kupitia placenta na hatimae kupunguza uzalishaji wa projesterone hormone na ku hamasisha uzalishaji wa prostaglandins hormone,,,kupungua kwa projesterone huipa nafasi oxytocin hormone kutoka kwenye ubongo na kusababisha contraction ya uzazi,,wakati huo prostaglandins ikiongeza power of contraction,,,hali hii huendelea kufuatia positive feedback mechanism na hatimaye huleta maumiv,,,,,,,ni uelewa wangu tu mdogo ngazi ya form6
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole Eisher, tatizo haya mambo yana terminologies ngumu halafu nyingi hazina tfsiri ya kiswahili, hebu uliza ambapo hujaelewa tujaribu kuelezea tena.Sijui kama naelewa