Why Labour Pain/kwanini Uchungu wakati wa kujifungua??

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Hallo wataalamu/Drs...tusaidiane juu ya hili. ni kipi kinachosababisha maumivu makali wakati wa kujifungua?

Ni Pathophysiology/mechanism gani yahusika hapo??

Karibuni kwa michango.
 
Kwa madoctor naomba mje mtoe biological answer ila mimi naomba nikujibu kiroho zaidi kulingana na imani yangu kwenye biblia kitabu cha mwanzo Mungu alitoa adhabu kwa mwanamke na kwa mwanaume ambapo mwanamke alipewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu na mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho,hii adhabu ilitolewa pale bustani ya eden baada ya adam na eva kula tunda la mti wa kati.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa madoctor naomba mje mtoe biological answer ila mimi naomba nikujibu kiroho zaidi kulingana na imani yangu kwenye biblia kitabu cha mwanzo Mungu alitoa adhabu kwa mwanamke na kwa mwanaume ambapo mwanamke alipewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu na mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho,hii adhabu ilitolewa pale bustani ya eden baada ya adam na eva kula tunda la mti wa kati.
Asante kwa kuchangia kwa imani maana ina relate na maandiko kwa waaminio kwa uelewa wangu binafsi nachojua mm maumivu ya uchungu hutokana na presure ya asili ilimo ndani ya tumbo la uzazi ambayo husababisha contraction wakati mtoto ame karibia kutoka pia presure hiyo husukuma vichocheo (oxtocin homone) ambayo humfanya mama ajiskie kusukuma kama vile hamu ya haja kubwa ile mitanuko ya uterus na cevix ndo huleta maumivu ya hatar hasa chini ya kitovu kuuno na mgongo kwa baadh ya wa mama
 
Asante kwa elimu huyo,dooh uchungu wa kuzaa hauelezeki kwa wale ambao wameingia labor kama mimi hope wananielewa its something we cant explain

Wanaume waheshimuni sana wake zenu jamani loh
 
Mama miaaa...najisifu mimi ni nwanamke kwa kuwahi kuingia labor. Yale maumivu yamepita neno lenyewe maumivu hasa pale ambapo kichwa killee kinaaonekana hahaaaaaa.
 
Thanks kwa elimu ndugu can u explain something about ischemic how does it relate to labour pain?
 
Asante kwa elimu huyo,dooh uchungu wa kuzaa hauelezeki kwa wale ambao wameingia labor kama mimi hope wananielewa its something we cant explain

Wanaume waheshimuni sana wake zenu jamani loh
Pole sana jamani hatuna budi kuwaheshimu mama zetu kwa kweli one my dr aliwahi kuniambia labour pain ndo uchungu wa kwanza duniani ikifuatiwa na maumivu ya mkanda wa jeshi(herpetic zooster)
 
Mama miaaa...najisifu mimi ni nwanamke kwa kuwahi kuingia labor. Yale maumivu yamepita neno lenyewe maumivu hasa pale ambapo kichwa killee kinaaonekana hahaaaaaa.
Pole mnoo ndo maana wengne wanapata hata ukichaa puerperal pyschosis
 
Kwanza kabisa,,,mama mjamzito anapofikia miez kuanzia 8,,,mtoto anaanza kuzalisha hormone iitwayo Adrenocorticoid,,,hii hormone husafiri kwenda kwa mama kupitia placenta na hatimae kupunguza uzalishaji wa projesterone hormone na ku hamasisha uzalishaji wa prostaglandins hormone,,,kupungua kwa projesterone huipa nafasi oxytocin hormone kutoka kwenye ubongo na kusababisha contraction ya uzazi,,wakati huo prostaglandins ikiongeza power of contraction,,,hali hii huendelea kufuatia positive feedback mechanism na hatimaye huleta maumiv,,,,,,,ni uelewa wangu tu mdogo ngazi ya form6
 
Asante kwa kuchangia kwa imani maana ina relate na maandiko kwa waaminio kwa uelewa wangu binafsi nachojua mm maumivu ya uchungu hutokana na presure ya asili ilimo ndani ya tumbo la uzazi ambayo husababisha contraction wakati mtoto ame karibia kutoka pia presure hiyo husukuma vichocheo (oxtocin homone) ambayo humfanya mama ajiskie kusukuma kama vile hamu ya haja kubwa ile mitanuko ya uterus na cevix ndo huleta maumivu ya hatar hasa chini ya kitovu kuuno na mgongo kwa baadh ya wa mama
Duuh kazi ipo
 
Mama miaaa...najisifu mimi ni nwanamke kwa kuwahi kuingia labor. Yale maumivu yamepita neno lenyewe maumivu hasa pale ambapo kichwa killee kinaaonekana hahaaaaaa.
nikweli kabisa wakati huu mama hupata maumivu yenye akili zake hapa hata akili huruka kwa baadhi ata mtusi hata mumewe na kuapa kuto rudia tena hataman tena mtoto hukata tamaa na kuhisi roho ina mtoka ata punguza nguvu ya kusukuma wakati mtoto yupo mlangon na kuna hater ya kunyw uchafu na kuchoka zaidi hapa mtaalam ukiwa mzembe mtoto ana weza poteza maisha ina bidi kua mkalii na shap na hata kumrudisha ktkt hali ya kawaida kwa makof kadhaa kwenye mapaja mtoto akitoka zina fata hongera na pole
 
Kwanza kabisa,,,mama mjamzito anapofikia miez kuanzia 8,,,mtoto anaanza kuzalisha hormone iitwayo Adrenocorticoid,,,hii hormone husafiri kwenda kwa mama kupitia placenta na hatimae kupunguza uzalishaji wa projesterone hormone na ku hamasisha uzalishaji wa prostaglandins hormone,,,kupungua kwa projesterone huipa nafasi oxytocin hormone kutoka kwenye ubongo na kusababisha contraction ya uzazi,,wakati huo prostaglandins ikiongeza power of contraction,,,hali hii huendelea kufuatia positive feedback mechanism na hatimaye huleta maumiv,,,,,,,ni uelewa wangu tu mdogo ngazi ya form6
Mkuu hakuna lugha nyepesi sie ambao sio wataalam wa hayo mambo tukaelewa? maada duu si mchezo
 
Kwanza kabisa,,,mama mjamzito anapofikia miez kuanzia 8,,,mtoto anaanza kuzalisha hormone iitwayo Adrenocorticoid,,,hii hormone husafiri kwenda kwa mama kupitia placenta na hatimae kupunguza uzalishaji wa projesterone hormone na ku hamasisha uzalishaji wa prostaglandins hormone,,,kupungua kwa projesterone huipa nafasi oxytocin hormone kutoka kwenye ubongo na kusababisha contraction ya uzazi,,wakati huo prostaglandins ikiongeza power of contraction,,,hali hii huendelea kufuatia positive feedback mechanism na hatimaye huleta maumiv,,,,,,,ni uelewa wangu tu mdogo ngazi ya form6
uko vizuri kaka ingawa kuna nyongeza kidogo tu.. hormone inaitwa adrenocorticotrophic, pia prostaglandins sio hormones ni eicosanoids flani zinazokua produced kwa shughuli mbalimbali mwilini ikiwemo hiyo ya contraction, pia prostaglandins zinastimulate pain receptors (nociceptors) kuweza kudect pain zinazokuwa mediated na kinins abazo nazo huzalishwa mda huo, kwa hiyo hapo prostaglandins zinachochea maumivu kwa sababu ya contactions na stimulation ya nociceptors.
 
mimi swali langu
mwisho wa uke kule ndani kwenye shingo ya kizazi kuna katundu flani ambacho naskia ndipo shahawa ikichujwa huingia hapo na kwenda kwenye ovarian na kutunga mimba!nnachotaka kujua je kuna tundu lingine pale kwenye shingo ya kizazi?je mtoto hutokea hapo katika hako katundu au anatoboa lake?je damu ya bleed hutokea kwa wapi?na mtoto akitoka kule ndani panakuwaje kwa muda mchache?
 
Kwa kifupi fertilization inafanyika kwenye Fallopian tube then implantation(attachment of embryo to the uterine cavity) kwenye Uterus.

Hapo kiumbe kitaendelea kukua na Placenta kutengenezwa,baada ya miezi 9 kuanzia wiki ya 37 mwanamke anaweza kuanza kusikia uchungu(labour pain) na dalili zingine kama vile Passage of Show,Rupture of membrane,Descent of presenting part(Normal labour)

Pia utakapopima njia utakuta njia imefunguka(cervix dilation) kwa hiyo mtoto hupita kwenye hiyo njia na hakuna njia nyingine Ndugu tunaita cervical os ambapo kuna external na internal os..

mimi swali langu
mwisho wa uke kule ndani kwenye shingo ya kizazi kuna katundu flani ambacho naskia ndipo shahawa ikichujwa huingia hapo na kwenda kwenye ovarian na kutunga mimba!nnachotaka kujua je kuna tundu lingine pale kwenye shingo ya kizazi?je mtoto hutokea hapo katika hako katundu au anatoboa lake?je damu ya bleed hutokea kwa wapi?na mtoto akitoka kule ndani panakuwaje kwa muda mchache?

mimi swali langu
mwisho wa uke kule ndani kwenye shingo ya kizazi kuna katundu flani ambacho naskia ndipo shahawa ikichujwa huingia hapo na kwenda kwenye ovarian na kutunga mimba!nnachotaka kujua je kuna tundu lingine pale kwenye shingo ya kizazi?je mtoto hutokea hapo katika hako katundu au anatoboa lake?je damu ya bleed hutokea kwa wapi?na mtoto akitoka kule ndani panakuwaje kwa muda mchache?
 
Kwanza kabisa,,,mama mjamzito anapofikia miez kuanzia 8,,,mtoto anaanza kuzalisha hormone iitwayo Adrenocorticoid,,,hii hormone husafiri kwenda kwa mama kupitia placenta na hatimae kupunguza uzalishaji wa projesterone hormone na ku hamasisha uzalishaji wa prostaglandins hormone,,,kupungua kwa projesterone huipa nafasi oxytocin hormone kutoka kwenye ubongo na kusababisha contraction ya uzazi,,wakati huo prostaglandins ikiongeza power of contraction,,,hali hii huendelea kufuatia positive feedback mechanism na hatimaye huleta maumiv,,,,,,,ni uelewa wangu tu mdogo ngazi ya form6
Asante kwa elimu nzuri uliyotupatia,binafsi mimi nilikuwa na elimu ya kiiman zaid
 
Sijui kama naelewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole Eisher, tatizo haya mambo yana terminologies ngumu halafu nyingi hazina tfsiri ya kiswahili, hebu uliza ambapo hujaelewa tujaribu kuelezea tena.
 
Back
Top Bottom