Why last born only?

Imeandikwa wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwañza. Vipi, umeshakufa mara ngapi?!... LAST BORN! hovyo kweli aisee. Sio lazima kila unacho waza utuandikie hapa bwana😠
 
Imeandikwa wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwañza. Vipi, umeshakufa mara ngapi?!... LAST BORN! hovyo kweli aisee. Sio lazima kila unacho waza utuandikie hapa bwana[emoji34]
Hahahaha mchan mwema
 
Imeandikwa wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwañza. Vipi, umeshakufa mara ngapi?!... LAST BORN! hovyo kweli aisee. Sio lazima kila unacho waza utuandikie hapa bwana[emoji34]

Sawa kaka
 
Kama ni hivyo bas!

Kitabia last born wanna take risk sana!

Wengi wao wamebweteka na kufanya ishu za hovyo hovyo kitaa!

Wakabaki majumbani kuwalea wazee wetu yaani vya pale nyumbani vinakuwa kama vyao kimatumizi kama gari,piki na mali nyinginezo kama ni wa mtungi au mikasi atafanya bsana coz hana mawazo sanaa ya ku fight maisha!!!

Nimemuona dogo wangu full risk na deko la nguvu!

Wachache sana ni wa kutegemewa na makini kwa life aiseh!

Mf. Mdogo wangu ana wenge sana yaani una mpa mimba mke wa askari magereza kweli unataka akufanyaje hasa!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…