Why last born only?

Why last born only?

kwanini sisi malast born tuna anzaga kufa sisi na sio watoto wa kwaza kuzaliwa au wakatikati?
Tayari ushaanza kusikia dalili za ugonjwa wa kufakufa, ukirudi ni-tag nijue bado unaishi ndio nikujibu swali lako
 
Kama ni hivyo bas!

Kitabia last born wanna take risk sana!

Wengi wao wamebweteka na kufanya ishu za hovyo hovyo kitaa!

Wakabaki majumbani kuwalea wazee wetu yaani vya pale nyumbani vinakuwa kama vyao kimatumizi kama gari,piki na mali nyinginezo kama ni wa mtungi au mikasi atafanya bsana coz hana mawazo sanaa ya ku fight maisha!!!

Nimemuona dogo wangu full risk na deko la nguvu!

Wachache sana ni wa kutegemewa na makini kwa life aiseh!

Mf. Mdogo wangu ana wenge sana yaani una mpa mimba mke wa askari magereza kweli unataka akufanyaje hasa!!!?
Vita aliyoianzisha haitoisha hadi kizazi cha mwisho cha huyo Comrade
 
Kama ni hivyo bas!

Kitabia last born wanna take risk sana!

Wengi wao wamebweteka na kufanya ishu za hovyo hovyo kitaa!

Wakabaki majumbani kuwalea wazee wetu yaani vya pale nyumbani vinakuwa kama vyao kimatumizi kama gari,piki na mali nyinginezo kama ni wa mtungi au mikasi atafanya bsana coz hana mawazo sanaa ya ku fight maisha!!!

Nimemuona dogo wangu full risk na deko la nguvu!

Wachache sana ni wa kutegemewa na makini kwa life aiseh!

Mf. Mdogo wangu ana wenge sana yaani una mpa mimba mke wa askari magereza kweli unataka akufanyaje hasa!!!?
Aisee mke wa mtu? Huyo dogo mbona yuko speed sana
 
Back
Top Bottom