Aache kututisha nae mtoa madaAcha tu mimi najione huruma mwenyewe
Vipi last born a.k.a kitinda mimba Johnnie Walker unajisikia kufa kufa nini?
Tayari ushaanza kusikia dalili za ugonjwa wa kufakufa, ukirudi ni-tag nijue bado unaishi ndio nikujibu swali lakokwanini sisi malast born tuna anzaga kufa sisi na sio watoto wa kwaza kuzaliwa au wakatikati?
Ooolisikia wapi?Hellow african
Ivi kwanini sisi malast born tuna anzaga kufa sisi na sio watoto wa kwaza kuzaliwa au wakatikati?
Nimewaza sipati jibu
Vita aliyoianzisha haitoisha hadi kizazi cha mwisho cha huyo ComradeKama ni hivyo bas!
Kitabia last born wanna take risk sana!
Wengi wao wamebweteka na kufanya ishu za hovyo hovyo kitaa!
Wakabaki majumbani kuwalea wazee wetu yaani vya pale nyumbani vinakuwa kama vyao kimatumizi kama gari,piki na mali nyinginezo kama ni wa mtungi au mikasi atafanya bsana coz hana mawazo sanaa ya ku fight maisha!!!
Nimemuona dogo wangu full risk na deko la nguvu!
Wachache sana ni wa kutegemewa na makini kwa life aiseh!
Mf. Mdogo wangu ana wenge sana yaani una mpa mimba mke wa askari magereza kweli unataka akufanyaje hasa!!!?
Usiogope daftari la rambirambi lianze kupita 😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana hapana bwana wew
Aisee mke wa mtu? Huyo dogo mbona yuko speed sanaKama ni hivyo bas!
Kitabia last born wanna take risk sana!
Wengi wao wamebweteka na kufanya ishu za hovyo hovyo kitaa!
Wakabaki majumbani kuwalea wazee wetu yaani vya pale nyumbani vinakuwa kama vyao kimatumizi kama gari,piki na mali nyinginezo kama ni wa mtungi au mikasi atafanya bsana coz hana mawazo sanaa ya ku fight maisha!!!
Nimemuona dogo wangu full risk na deko la nguvu!
Wachache sana ni wa kutegemewa na makini kwa life aiseh!
Mf. Mdogo wangu ana wenge sana yaani una mpa mimba mke wa askari magereza kweli unataka akufanyaje hasa!!!?
Chini ya mwembeHiyo research umeifanyia wapi huko?
Basi haitatoa majibu sahihi, arudie tenaChini ya mwembe