mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 627
Mkuu! ninalo tena ni zuri sanaNunua gari bana.
Haa haaaaa umenifurahisha sana mkuu!.....yaani ujakosea kabisa. Mie nilifanya kautafiti kadogo tu na nikaona mmh!Ni kweli ndio maana ukaitwa ule ni uchawi wa kizungu, ni wasichana wachache sana ambao wanaweza kuchomoa lakini wengi lazima uwapate,na hii imesababisha vijana wengi waliokuwa na magari kuwa Malaya bila wao kujijua hasa hawa vijana wanaopata magari baada ya kuanza kazi na ukizingatia ndio gari la kwanza kwenye familia,demu unaweza kumfuata popote pale kwa muda wowote na kumrudisha kiulaini na wengine hutumia magari yao kumalizia.Hivyo kama unalo kuwa makini lisikupeleke huko.
Siyo siri baadhi ya mademu wa uswazi wananishangaza sana! yaani wakitongozwa na mwanaume mwenye gari
ni wepesi sana kumkubali huyo mtu kuliko mwanaume ambae hana gari. Mwenye gari anaweza kubeba mzigo within
2 or 3 dayz tu.....na asiye na gari inaweza kumchukua wiki 2 au hata mwezi ndipo abebe mzigo! Au anaweza asipe
we kabisa.....yaani siyo siri walio wengi kwanza gari, pesa inafuata....hasa hasa mademu wa age kanzia 18 - 30.
Swali linakuja -: Ni ushamba,mazingira ya uswazi yanachangia au wako sahihi?
Mkuu vitu vingine havihitaji kwenda chuo kikuu ili upate jibu.....elimu ya mtaani tu inatoshaHiyo analysis umeifanyia wapi? na hizo statistics umezifikiaje?
Unajua kutongoza au kushawishi ni art sasa kwa mfano hawa mademu unaowaita wa 18-30 wengi wanapenda ku'exchange' mapenzi kwa vitu..sasa kwa akili aakikuona na gari au zamani simu anaamini tu unazo ..akili zao zimegota hapo..hawezi kufikiri labda umeazima au la ofisi yaan hawaendagi upana huo..shame on themZamani kidogo ilikuwa simu ya mkononi, yaani demu unamsogeza tu kiulaiiiini
Hapo kwenye red dada!. Japo si wote lakini wengi wao wanashoboka na magari.....na kama wanapenda kutembea na ******Sababu wanapenda kutembea huku wamekaa...
alafu acha kuwaonea wa uswahilini... wengi
wanapenda awe na gari sio lazima but an advantage...
mimi naishi uswazi, na hicho kitu sijakiona! kwanza watoto wa ushwazi hawapendi watu wa dizaini hiyo!Mkuu vitu vingine havihitaji kwenda chuo kikuu ili upate jibu.....elimu ya mtaani tu inatosha
Yaani we acha tu! sijui wana arage na magari....sijui ni ushamba. How come mwanaume mwenye gari ndio awe bora kwako? je kama kaliazima?Unajua kutongoza au kushawishi ni art sasa kwa mfano hawa mademu unaowaita wa 18-30 wengi wanapenda ku'exchange' mapenzi kwa vitu..sasa kwa akili aakikuona na gari au zamani simu anaamini tu unazo ..akili zao zimegota hapo..hawezi kufikiri labda umeazima au la ofisi yaan hawaendagi upana huo..shame on them
Mkuu hapo nitabishana na wewe sana tu! kuku wa kienyeji(Demu wa uswazi) wanapenda magari kuliko kuku wa kizungu!mimi naishi uswazi, na hicho kitu sijakiona! kwanza watoto wa ushwazi hawapendi watu wa dizaini hiyo!
Hapo ndipo unakosea. Ungesema asilimia kubwa ya wanawake regardless ni wa uswazi or waukweli wanapenda wanaume wenye magari ningekuelewa! Lakini kusema tu wa uswazi ndio wanapenda unakosea sana!Mkuu hapo nitabishana na wewe sana tu! kuku wa kienyeji(Demu wa uswazi) wanapenda magari kuliko kuku wa kizungu!
Hivi unataka kuniambia kuku wa kizungu( Demu aliyesoma na anajitambua) hasa wa maeneo ya Mikocheni,masaki,posta area,mbezi beach nk.
unaweza kumlingishia gari yako na ukampata? sahau hicho kitu mkuu....kuku wa kizungu hawazuzuki na magari hata siku moja....kuku wa
kienyeji ndio wanaozuzuka na ndingaz
Ni kweli hamna mwamke anayependa shida, lakini baadhi ya mademu wa uswazi wanafikiri shida zao zitaisha pindiHapo ndipo unakosea. Ungesema asilimia kubwa ya wanawake regardless ni wa uswazi or waukweli wanapenda wanaume wenye magari ningekuelewa! Lakini kusema tu wa uswazi ndio wanapenda unakosea sana!
Hamna mwanamke anayependa shida!
Kuwa na adabu wewe! Nani amekwambia wasichana wa huko unakokuita uswazi hawajasoma na hawajitambui? Jifunze kuheshimu wengine.Mkuu hapo nitabishana na wewe sana tu! kuku wa kienyeji(Demu wa uswazi) wanapenda magari kuliko kuku wa kizungu!Hivi unataka kuniambia kuku wa kizungu( Demu aliyesoma na anajitambua) hasa wa maeneo ya Mikocheni,masaki,posta area,mbezi beach nk.unaweza kumlingishia gari yako na ukampata? sahau hicho kitu mkuu....kuku wa kizungu hawazuzuki na magari hata siku moja....kuku wakienyeji ndio wanaozuzuka na ndingaz