Why mademu wa uswazi wanapenda boyz wenye magari?

Why mademu wa uswazi wanapenda boyz wenye magari?

Hapo ndipo unakosea. Ungesema asilimia kubwa ya wanawake regardless ni wa uswazi or waukweli wanapenda wanaume wenye magari ningekuelewa! Lakini kusema tu wa uswazi ndio wanapenda unakosea sana!
Hamna mwanamke anayependa shida!

Hamna mtu anayependa shida!
 
Boss, hiyo ni chapa ilale. Lazima ujue kubalance akili btn ur head and its subsidiary
Hata mie amenishangaza! jamaa anafikilia kuoa moja kwa moja....hiyo ni chapa ilale
 
umepimaaa?
Mkuu nimepima na niko salama salimini....hata hivyo usinihukumu kwa kuleta topic hii hapa jamvini.
Kwani nilichokielezea hapa ni kweli kipo kwa baadhi ya wadada zetu wa uswazi....sasa tunataka kujua tatizo lao ni nini?
 
Swala sio uswazi tu bali ni madem wote.....hata hivyo siwezi kuwalaumu sana maana binadamu yeyote huhitaji urahisi wa maisha hata kama ungekua wewe nazani ingekua hivyo hivyo tu..............
 
Kuwa na adabu wewe! Nani amekwambia wasichana wa huko unakokuita uswazi hawajasoma na hawajitambui? Jifunze kuheshimu wengine.

hata me nimeshangaa jamaa anashoboka na wa masaki cjui mikochen n.k mbna nao mabogus tu then wakikutana na wajanja tunamega kama kawa! Then ktk maisha wapo so soft hawawez kuhimili mambo magumu so why wa uzunguni wanashobokewa Au ni hizo fedha zao?
 
Siyo siri baadhi ya mademu wa uswazi wananishangaza sana! yaani wakitongozwa na mwanaume mwenye gari
ni wepesi sana kumkubali huyo mtu kuliko mwanaume ambae hana gari. Mwenye gari anaweza kubeba mzigo within
2 or 3 dayz tu.....na asiye na gari inaweza kumchukua wiki 2 au hata mwezi ndipo abebe mzigo! Au anaweza asipe
we kabisa.....yaani siyo siri walio wengi kwanza gari, pesa inafuata....hasa hasa mademu wa age kanzia 18 - 30.

Swali linakuja -: Ni ushamba,mazingira ya uswazi yanachangia au wako sahihi?


Mshikachuma,

Observation yako umefanya kwenye jinsia moja tu? Vipi upande wa pili wa shilingi, wakaka wa uswazi wao wanapenda galz wenye nini?
 
i think before asking that question u can also ask on the other side coz it seem the same like wanaume wote wa kishua wanapenda madem wa uswazi coz they participate on malv dav,
and madem wa geti wanamaind wanaume wa uswazi hao wapenda magali ni tabia na utandawazi sio genellar
 
i think&nbsp; before asking that question u can also ask on the other&nbsp; side coz it seem the same like wanaume wote wa kishua wanapenda madem wa uswazi coz they participate on malv dav,<br>and madem wa geti wanamaind wanaume wa uswazi hao wapenda magali ni tabia na utandawazi sio genellar
 
Umenchekesha kweli!Naamin enzi zenu maana waliokupenda kwa dhati sasa ni mabibi!Siku hizi haupendwi ww...wanataka raha zaidi. Hata ukiwa una ulemavu ukiwa nacho..wanakugombea!
Kwani walemavu hawastahili kupendwa?
 
tamaaa,kurahisisha maisha and most of them huwa wanadhan akishampata huyo jamaa mwenye ndiga life linakuwa mstari kumbe.....
 
mimi naishi uswazi, na hicho kitu sijakiona! kwanza watoto wa ushwazi hawapendi watu wa dizaini hiyo!

Mwongo wewe,inaelekea unaishi sehemu ambayo hata magari hayapiti yaaani ni chocho kwa chocho ndo maana huoni
 
Siyo wanawake tu, hata wanaume wakiona una usafiri wanaanza kukushobokea. Ni rahisi sana kupata washkaji ukiwa na gari kuliko unapukuwa huna.. Nadhani ni ile kasumba ya wabongo kuamini kuwa mtu akiwa na gari muda wowote unaweza kuhitaji msaada wake (say wa kukupeleka hosiptali etc) hivyo kujigonga kwake ni jambo lisiloepukika..
 
wasichana wamechoka kupanda boda boda wanata magari iliaseme ATM yangu matawi ya juuuuuuuuuuu!
 
mbona mimi nina magari lakini hayo mambo siyaoni? mbona nikimtokea anaitolea nje wakati gari ninalo au wanaangalia aina ya magari!
 
Mwongo wewe,inaelekea unaishi sehemu ambayo hata magari hayapiti yaaani ni chocho kwa chocho ndo maana huoni
Haa umenivunja mbavu.....subiri mwenyewe apite hapa uone atakavyokushambulia
 
Kwahiyo hao madem wa masaki wanakuja kuchukuliwa kwa miguu??
Kuku wa kizungu hajali gari wala kutembea kwa mguu,bali wanajali hisia za mapenzi ya kweli....kwani wanazaliwa wanakuta teyari wazazi wao
wanamiliki magari na mijengo ya kisasa....so kwao wao magari si inshu, bali mapenzi ya kweli ndiyo inshu. Lakini kuku wa kienyeji mmh!
 
mbona mimi nina magari lakini hayo mambo siyaoni? mbona nikimtokea anaitolea nje wakati gari ninalo au wanaangalia aina ya magari!
Kwanza inategemea unamtokeaje, Je ni kuku wa kizungu au wa kienyeji?....na pia usisahau kila....na mbuyu wake
 
yap uswahilini ukiwa na gari zuri tu unang'oa mademu baraaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
i think&nbsp; before asking that question u can also ask on the other&nbsp; side coz it seem the same like wanaume wote wa kishua wanapenda madem wa uswazi coz they participate on malv dav,<br>and madem wa geti wanamaind wanaume wa uswazi hao wapenda magali ni tabia na utandawazi sio genellar
What i know ni - wavulana wa kishua wanapenda kuku wa kienyeji kwakuwa (1) ni rahisi mno kuwapata (2) wanajua kulishambulia jukwaa la kitanda. Lakini kuku wa kizungu kwanza kumpata ni shida sana, na hata ukimpata waliowengi hawawezi kushambulia jukwaa la kitanda
 
Back
Top Bottom