Why mademu wa uswazi wanapenda boyz wenye magari?

huku zenji lizma uwe na vespa sio gari banaaaa!
 
kwanza hata hizo siku 2...3.. mi naona bado nyingi tu!!!!!!!!
mambo yamerahisishwa sana nowadayz mshkaji.................
 
Read between the line. Yamemkuta jamaa kuwa ameshobokewa na dem kwa kuwa ana usafiri ndo maana.
 
Yaani we acha tu! sijui wana arage na magari....sijui ni ushamba. How come mwanaume mwenye gari ndio awe bora kwako? je kama kaliazima?

hapo kwenye red umeniacha kidogo unamaanisha nini? halafu mnashangaa vitu vya ajabukweli, mi sionitatizo kwa mtu kuchagua anachopenda, ndio maana hata wewe huwezi kutongoza tu kila 'msichana' unaekutana nae lazima uwe na 'specs' na hao waschana nao wana specifications zao ikiwemo kumiliki gari
 
Mmmmh!!! Kazi kweli ............... enzi zetu mtu unafuatilia mdada 4 2-3 years eti nowdays its just 2-3 days. Hatari sana hiiii....
 
Mh sidhan kama waweza pata penzi la kweli, siwez kuruhusu kuwa na mke wa sample hiyo., hapo atakuwa kapenda gari na siyo mimi.
 
Mh sidhan kama waweza pata penzi la kweli, siwez kuruhusu kuwa na mke wa sample hiyo., hapo atakuwa kapenda gari na siyo mimi.

Boss, hiyo ni chapa ilale. Lazima ujue kubalance akili btn ur head and its subsidiary
 
Mh sidhan kama waweza pata penzi la kweli, siwez kuruhusu kuwa na mke wa sample hiyo., hapo atakuwa kapenda gari na siyo mimi.
Umenchekesha kweli!Naamin enzi zenu maana waliokupenda kwa dhati sasa ni mabibi!Siku hizi haupendwi ww...wanataka raha zaidi. Hata ukiwa una ulemavu ukiwa nacho..wanakugombea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…