Hapo ndipo unakosea. Ungesema asilimia kubwa ya wanawake regardless ni wa uswazi or waukweli wanapenda wanaume wenye magari ningekuelewa! Lakini kusema tu wa uswazi ndio wanapenda unakosea sana!
Hamna mwanamke anayependa shida!
Hata mie amenishangaza! jamaa anafikilia kuoa moja kwa moja....hiyo ni chapa ilaleBoss, hiyo ni chapa ilale. Lazima ujue kubalance akili btn ur head and its subsidiary
Mkuu nimepima na niko salama salimini....hata hivyo usinihukumu kwa kuleta topic hii hapa jamvini.umepimaaa?
Kuwa na adabu wewe! Nani amekwambia wasichana wa huko unakokuita uswazi hawajasoma na hawajitambui? Jifunze kuheshimu wengine.
Siyo siri baadhi ya mademu wa uswazi wananishangaza sana! yaani wakitongozwa na mwanaume mwenye gari
ni wepesi sana kumkubali huyo mtu kuliko mwanaume ambae hana gari. Mwenye gari anaweza kubeba mzigo within
2 or 3 dayz tu.....na asiye na gari inaweza kumchukua wiki 2 au hata mwezi ndipo abebe mzigo! Au anaweza asipe
we kabisa.....yaani siyo siri walio wengi kwanza gari, pesa inafuata....hasa hasa mademu wa age kanzia 18 - 30.
Swali linakuja -: Ni ushamba,mazingira ya uswazi yanachangia au wako sahihi?
Kwani walemavu hawastahili kupendwa?Umenchekesha kweli!Naamin enzi zenu maana waliokupenda kwa dhati sasa ni mabibi!Siku hizi haupendwi ww...wanataka raha zaidi. Hata ukiwa una ulemavu ukiwa nacho..wanakugombea!
mimi naishi uswazi, na hicho kitu sijakiona! kwanza watoto wa ushwazi hawapendi watu wa dizaini hiyo!
Haa umenivunja mbavu.....subiri mwenyewe apite hapa uone atakavyokushambuliaMwongo wewe,inaelekea unaishi sehemu ambayo hata magari hayapiti yaaani ni chocho kwa chocho ndo maana huoni
Kuku wa kizungu hajali gari wala kutembea kwa mguu,bali wanajali hisia za mapenzi ya kweli....kwani wanazaliwa wanakuta teyari wazazi waoKwahiyo hao madem wa masaki wanakuja kuchukuliwa kwa miguu??
Kwanza inategemea unamtokeaje, Je ni kuku wa kizungu au wa kienyeji?....na pia usisahau kila....na mbuyu wakembona mimi nina magari lakini hayo mambo siyaoni? mbona nikimtokea anaitolea nje wakati gari ninalo au wanaangalia aina ya magari!
What i know ni - wavulana wa kishua wanapenda kuku wa kienyeji kwakuwa (1) ni rahisi mno kuwapata (2) wanajua kulishambulia jukwaa la kitanda. Lakini kuku wa kizungu kwanza kumpata ni shida sana, na hata ukimpata waliowengi hawawezi kushambulia jukwaa la kitandai think before asking that question u can also ask on the other side coz it seem the same like wanaume wote wa kishua wanapenda madem wa uswazi coz they participate on malv dav,<br>and madem wa geti wanamaind wanaume wa uswazi hao wapenda magali ni tabia na utandawazi sio genellar