Pamoja na kwamba Lissu ni kiongozi wetu imara ambao wengi tunaamini atatufikisha mbali lakini kwa yale yaliyomkuta kila mmoja aliyefika hapa ameona anastahili kuja kumpokea huyu shujaa wetu, tuliokuwa Dodoma tuliona hakuna aliyekuwa anaweza kuishi katika hali kama ile kwahiyo hii ni miujiza mikubwa kwetu na tunamshukuru sana Mungu,” – Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule 'Profesa Jay #MtanzaniaDigital