Serikali ya Chadema itapeleka Bungeni Muswada wa Sheria ya Maridhiano, ambayo itaanzisha Tume ya Maridhiano kwa lengo la kuondoa hofu ya uwezekano wa vitendo vya kulipiza visasi na kuunganisha nguvu za wananchi wote.
#NiYeye2020
#IlaniYaChadema2025
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.