UTEUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amefanya uteuzi wa nafasi mbali mbali kwa ngazi ya Mawaziri.
1. Mhe. Rais ameteuua Dk. Saada Mkuya kuwa Waziri wa Fedha na Mipango na Mhe. Jamali Kassim anakuwa Naibu Waziri wa Wizara hiyo.
2. Pia Mhe. Rais amemteua Mhe. Mudrik Soraga kuwa Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu.
3. Mhe. Shamata kuwa Waziri wa Nchi Afisi ya Rais na Serikali za Mitaa.
4. Mhe. Mihayo Juma N'hunga kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais.
5. Mhe.Tabia Maulid kuwa Waziri wa Vijana Sanaa, Utamaduni na Michezo Pia amemteua Bi Hudhaima Mbaraka Tahiri kuwa Naibu wake.
6. Mhe. Shaaban kuwa Waziri wa Habari, utaali na mambo ya Kale.
7. Mhe. Rais Amemteuwa Mhe. Rahma Kassim Ali kuwa Waziri wa Sheria na Katiba.
8. Mhe. Masoud Ali kuwa Waziri wa Mawasiliano, usafirishaji na uchukuzi.
9. Mhe. Juma Ali Khatibu kuwa Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
10. Mhe.Issa Haji Ussi kuwa Waziri wa Kilimo Pia amemteuwa Mhe. Ameir Abdallah kuwa Naibu waziri wa Wizara Hiyo
11. Mhe. Mwanaasha Ali kuwa Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali.
12. Mhe. Tatu Thani kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda, Pia amemteuwa Mhe. Ali mrembo kuwa Naibu wa Wizara hiyo
13. Mhe. Do. Khalid Salum kuwa Waziri anaeshuhulikia Vikosi na Idara Maalumu
Sent from my SM-A715F using
JamiiForums mobile app