TANGAZO TANGAZO
SHULE YA ST.MARCUS ILIOPO MBEYA INATANGAZA NAFASI ZA KUHAMIA KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO KATIKA MICHEPUO YA HGK,HGL,NA HKL.
Mwanafunzi atakaye kuwa tayari kuhamia atasoma bure bila kulipa ada isipokuwa tu atatakiwa kuja na mahitaji yake ya bwenini ikiwa ni pamoja na godoro, nguo za michezo, uniform pamoja na vitu vingine Kama ndoo ya kufanyia usafi. Wahi hii ofa kabla haijaisha Kwa mawasiliano zaid piga simu namba
0762590252
Asante Sana
SHARE TO OTHERS