Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Status
Not open for further replies.
Facts need no defense
PSX_20210122_201848.jpg
PSX_20210122_201900.jpg
 
APIGWA NA 'ASKARI' HOSPITALINI SHINYANGA.

Kijana aliyejulikana kwa jina la Daudi Lefi Mkazi wa Shinyanga ameshambuliwa na walinzi wa Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga (SUMA JKT) wanaodaiwa kumtaka aondoke wodini kwamba muda wa kusalimia wagonjwa umeisha ili hali akisubiri kupatiwa gharama za dawa kwa ajili ya mgonjwa wake

Akisimulia kuhusu tukio hilo, ndugu wa kijana huyo, Lydia Lefi amesema kuwa kaka yake amekutwa na mkasa huo wakati akiwa katika harakati za kulipia dawa za mama yao ambaye amelazwa katika hospitali hiyo jana Januari 21,2021.

Daudi Lefi amesema walinzi hao walidhani amefika muda huo huo hospitalini wakati yeye alikuwa amefika hospitalini hapo muda mrefu lakini Computer za Hospitali zikawa hazisomi jina la mgonjwa wake wakati anataka kununua dawa.

Baadhi ya wagonjwa na watu wanaouguza wagonjwa wameeleza kusikitishwa na kitendo cha walinzi hao kumpiga ngumi na mkanda na kuongeza kuwa baadhi ya walinzi katika hospitali hiyo wana lugha mbaya na wanatumia ubabe hawaangalii utu.

Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga,Dr Luzila John Boshi amekiri kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa atatoa taarifa baadae.

 
'God Intended It for Good'

In 1947, a young New Yorker named Glenn Chambers had a lifelong dream to work for God in Ecuador. At the airport on the day of departure, he wanted to send a note to his mother but he didn’t have time to buy a card. He noticed a piece of paper on the terminal floor and picked it up. It turned out to be an advertisement with ‘Why?’ spread across it. He scribbled his note around the word ‘Why?’ and put it in the post box. That night his aeroplane exploded as it hit the 14,000-foot Colombian peak El Tablazo. When his mother received the note after the news of his death the question burned up at her from the page… ‘Why?’
Why does God allow such suffering? This question is the single greatest challenge to the Christian faith. The amount of suffering and its distribution seem to be random and unfair. It outrages and bewilders us.
Theologians and philosophers have wrestled for centuries with the mystery of undeserved suffering, and no one has ever come up with a simple and complete solution. Today and tomorrow’s passages are only part of the answer, but each of them gives us some insight.
We see that although suffering is never good in itself, God is able to use it for good in a number of ways. God loves you. Your suffering is also God’s suffering. He suffers alongside you. Yet he does not always simply remove suffering from your life; he sometimes uses the bad things that happen to bring about his good purposes.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom