Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #4,561
Teh! Teh! Teh!Dah kweli nimejaribu kumfatilia nimegundua hilo .
This has nothing to do with personalities but with systems of governance.Jamaa Rutashubanyuma ndio Bashir Awale hawa ndio wezi ambao Fisadi Lowassa alikuwa kawatanguliza mbele watuibie kila kitu wasepe. Naona baada ya deal lake kubumbuluka amewekeza kwenye kupambana na Magufuli mitandaoni kwa kasi kubwa
The problem I discern from your pathetic case you can not open your mouth on the gate.Yaa inawezekana, ana Kesi "Bashir Awale" alikua na cheti cha kuzaliwa Tanzania, pia alikua akigawa data bando kwa Nyumbu wa Chadema ambapo ni kosa la jinai kwa Raia wa kigeni kuingilia Siasa za nchi, pia wana inshu ya Stanbic wenziwe wako ndani.
Hawa mavi kila kukicha wapo humu kuandika utumbo. Ngoja twende nae sawa.
By the way is this your best shot? Eschewing issues of profound public importance and indulge on clearly sideshowsMara nyingi kwenye Thread huwa nampaga makavu ananikimbia.
Wakenya wamejazana mno kwenye Thread zetu wakijifanya Watanzania sijui wana matatizo gani hawa jamaa? Hakuna Mtanzania anayetaka kua Mkenya but haya Mambulula yametunda kama Luba.
Is he relevant?Hivi hata Rostam Aziz unamjua aliko ?
- Hii nchi ilikuwa inauzwa mchana kweupee tena so cheaply
You must be breathing a sigh of relief and satisfactionYule Muajemi ametulia muda sana maana kulikua kunakipindi Siasa zimgeuke ndio maana aliacha na Ubunge. Yupo sema katulia.
If this was true then why contrarian verdict?Uchaguzi wa 2015 ndio niliona hatari ya kuachia kundi kubwa ndio waamue rais awe nani - A great crowd of people can easily be manipulated, unatumia pesa tu na kundi la watu maarufu na ndio maana nadhani hata wamarekani waliliona hili wakaweka VOTES za aina mbili
Can a hand bites its mouthSema kwa sasa mtandao wa Lowassa umesha vurugwa vibaya ndani ya CCM na umekufa na yeye Lowasa kama muasisi wa Siasa maji taka Siasa zinampa mgongo.
So hili kundi limeparaganyika sana, hili group la Lowassa ndio lilimpa Kikwete Urais dhidi ya Dr Salim Ahmed Salim, tumshukuru Kikwete analijua group hilo na alilikata.
Wamepagawa kinoma!
We jamaa vp wote ni waafrikaYou are a fuckin' Kenyan....why you are so obsessed with Tanzania?
Leave him alone justified in his own conceit.We jamaa vp wote ni waafrika