Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Status
Not open for further replies.
Jamaa Rutashubanyuma ndio Bashir Awale hawa ndio wezi ambao Fisadi Lowassa alikuwa kawatanguliza mbele watuibie kila kitu wasepe. Naona baada ya deal lake kubumbuluka amewekeza kwenye kupambana na Magufuli mitandaoni kwa kasi kubwa
This has nothing to do with personalities but with systems of governance.

Individuals when mention is just to sinew flesh unto dry bones!
 
Yaa inawezekana, ana Kesi "Bashir Awale" alikua na cheti cha kuzaliwa Tanzania, pia alikua akigawa data bando kwa Nyumbu wa Chadema ambapo ni kosa la jinai kwa Raia wa kigeni kuingilia Siasa za nchi, pia wana inshu ya Stanbic wenziwe wako ndani.

Hawa mavi kila kukicha wapo humu kuandika utumbo. Ngoja twende nae sawa.
The problem I discern from your pathetic case you can not open your mouth on the gate.

Why? Neither mastering English nor analytical skills you abase yourself with wild, unsubstantiated speculations
 
Mara nyingi kwenye Thread huwa nampaga makavu ananikimbia.

Wakenya wamejazana mno kwenye Thread zetu wakijifanya Watanzania sijui wana matatizo gani hawa jamaa? Hakuna Mtanzania anayetaka kua Mkenya but haya Mambulula yametunda kama Luba.
By the way is this your best shot? Eschewing issues of profound public importance and indulge on clearly sideshows
 
Uchaguzi wa 2015 ndio niliona hatari ya kuachia kundi kubwa ndio waamue rais awe nani - A great crowd of people can easily be manipulated, unatumia pesa tu na kundi la watu maarufu na ndio maana nadhani hata wamarekani waliliona hili wakaweka VOTES za aina mbili
If this was true then why contrarian verdict?

Something ought to yield
 
Sema kwa sasa mtandao wa Lowassa umesha vurugwa vibaya ndani ya CCM na umekufa na yeye Lowasa kama muasisi wa Siasa maji taka Siasa zinampa mgongo.

So hili kundi limeparaganyika sana, hili group la Lowassa ndio lilimpa Kikwete Urais dhidi ya Dr Salim Ahmed Salim, tumshukuru Kikwete analijua group hilo na alilikata.

Wamepagawa kinoma!
Can a hand bites its mouth
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom