Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Status
Not open for further replies.
mimi ni mmoja kati ya watu ambao hawafurahishwi na baadhi ya masuala yanayotendeka katika utawala huu wa magufuli.

lakini sijafikia hatua ya kuwa obsessed na JPM kama wewe Rutashubanyuma ,wewe obsession yako na utawala wa Jpm sio ya kawaida.

imagine, inafika wakati una argue peke yako toka page moja mpaka ya tatu[emoji23].

hapana aise,kuna kitu hakipo sawa hapo kichwaani kwako.jichunguze vizuri,sio kwa ubaya lakini.

au labda upo kwenye payroll ya kikundi fulani ndani/nje ya nchi,hilo hatuwezi jua maana siyo kwa bidii hiyo.
 
At least when you read you do understand albeit you cannot apply "shule ya ngumbalo" to respond in English but bravo all the same!
Sasa umeamua kuja na Chingeleza cha Midle east..........kazi kwelikweli.......uwanja ni wako sisi tumesomea chini ya miti........lakini tunakijua chingeleza kikiandikwa kuwa hiki ni cha wapi.......''Please take easy and think small''
 
asikuchanganye na hicho kingereza chake...cha kawaida sana.anachofanya ni kucheza na synonyms tu.

mfano hapo kwenye "albeit" angeweza kutumia "even though" ambalo ndio neno common kwa kingereza cha kileo.

huu ujanja wa kucheza na synonym ni wa kawaida sana kama unajua kuunda sentence ya kingereza vizuri.

ukiu-apply hapa jf na hivi watanzania wengi hatujui vizuri lugha ya malkia,watu wanaweza wakakuona bonge la msomi kumbe mjanja mjanja tu wa mjini.[emoji23] [emoji23]
 
Can you express yourself in English first that you may assure us you understand the issues in question?

You boast but you contribute not! A stature of hypocrisy.

What is wrong of getting to the root of the matter?

You somehow elevates yourself as a role model but to whom and how did you earn your laurels for others to be your copycats.

You may lack brain power but you certainly have nerves!
 
Sasa umeamua kuja na Chingeleza cha Midle east..........kazi kwelikweli.......uwanja ni wako sisi tumesomea chini ya miti........lakini tunakijua chingeleza kikiandikwa kuwa hiki ni cha wapi.......''Please take easy and think small''
I am really enjoying this chatterbox! Please never walk away.
 
naona dozi inakuingia barabara.nilidhani utanipuuza.[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mkuu usemacho ni kweli.....kwani tukiwa vijana wa shule enzi hizo tulikuwa tunaandika barua ya chingeleza cha kawaida then tunatafuta ''mabombastic'' kwenye dictionary tunareplace na kupeleka kwa wanafunzi wa kike.............huyu bwana namwangalia tu kumfurahisha wakati mwingine ananitupiaga Like zake ati...........
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…