mimi ni mmoja kati ya watu ambao hawafurahishwi na baadhi ya masuala yanayotendeka katika utawala huu wa magufuli.
lakini sijafikia hatua ya kuwa obsessed na JPM kama wewe
Rutashubanyuma ,wewe obsession yako na utawala wa Jpm sio ya kawaida.
imagine, inafika wakati una argue peke yako toka page moja mpaka ya tatu[emoji23].
hapana aise,kuna kitu hakipo sawa hapo kichwaani kwako.jichunguze vizuri,sio kwa ubaya lakini.
au labda upo kwenye payroll ya kikundi fulani ndani/nje ya nchi,hilo hatuwezi jua maana siyo kwa bidii hiyo.